moto2012 ulifanywa Plan B miaka mitatu mtu anakupiga kalenda na bado upo upo tu aiseeeeeeee
Jiandae kwenda kulipa kodi ya chumba... 60,000 x 6 = 360,000/=. Utalipia soft drinks na baadae lunch mtakayokula (roughly 30,000). Ukitema huo mkwanja wa kodi leo leo, na ukawa mjanja baadae mtaenda kugwegwedana... sh minimum 30,000 chumba, ndom 2,500, (hatataka salama wala dume za 200), lakini pia utamlipia bajaji ya kurudi kwa at least 5,000.
Andaa laki nne na nusu ikiwa ni pamoja na tahadhari (anaweza kuwa na rafiki yake wakati wa lunch)... Siku njema buzi...
Miss Neddy uko mama? Mambow
nipo rafiki bahari ya wewe
Wadau samahani, najua leo ni siku ya kazi! Nimeangukiwa sijui niseme na bahati ya mtende au balaa!Saa 10 usiku wa leo mrembo mmoja ambaye nimemsotea zaidi ya miaka 3, kanitumia sms kwa WhatsApp just hi, nkaanza kuchat nae, nikampleka peleka peleka amenipa apointment ya saa 4 Asubuhi hii kwenye kigrosari flani hapa Town.
Mdada ni mtata flani, kwa kuwa ghafla nimeshindwa kumwambia kuwa nataka kumla, ila chating yetu ilikuwa inaelekea huko.
Utata ni kipi nikipe kipaumbele, hela au kondom? Au vyote? Kisema ukweli mimi ni bahili, nikienda na hela nikahonga na kama sikumla nitakuwa nimepata hasara, na nisipokuwa na hela akikubali nitamlaje manake miaka 3 si haba sijui analiwa na nani?
Usiende na hela wala kondomu...
Kwa kuwa unataka kumla basi nenda na sahani, uma, kijiko...halafu usisahau na chachandu kunogesha mlo wako.
Vipi bestito? kakuingiza town kwa kinyumenyume?
Ha ha ha, kakuta mdada ndio kabeba ndom na hela. hakujua aanzie wapi.