masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,567
- 20,119
Masai walinzi, sio adimu sana. Ukienda mwenge wamejaa sana
walinzi wa kike ama sikuelewi
Masai walinzi, sio adimu sana. Ukienda mwenge wamejaa sana
Ila wana pesa sana, so ufanye cost and benefit annalysis
walinzi wa kike ama sikuelewi
Pesa zinatafutwa best,viungo?
Wabaki tu na pesa zao.
Hivi mvua za kupandia msimu huu zinaanza mwezi wa ngapi
Mi ningekuwa sijaoa ningeoa kabila la Dengue.
Hivi Ngorongoro Heroes na wanaijeria matokeo yalikuwaje?
Wanakuwaga na bonge la nembe mkuu
Umeolewa?
Mimi hakika ningechukua mmasai,ukute ambae hajaenda ujago ni watamu balaa
Wameacha kukeketwa?Mimi nafunguka kiroho safi mke/mchumba au kichepuko changu ningefarijika sana kama nikimpata MSANDAWE! Nasikia ni watamu sana hawa