Recent content by Beatrice Kamugisha

  1. B

    Tukimalizana na wamasai wapemba wajiandae Kwa Zanzibar ya Buluu

    Kisiwa Cha pemba ni fursa kubwa Kwa utalii japo Kwa Sasa maeneo mengi yamehodhiwa na wazawa na wameshindwa kuyaendeleza. Nadhani katika kukuza pato la Taifa upo umuhimu wa kujenga maghorofa kama aliyojenga Karume Unguja then familia za wakaazi wa Pemba wakae kwenye makazi hayo nadhifu kuruhusu...
  2. B

    Kwanini Mawaziri wanemwachia Waziri Mkuu suala la Ngorongoro! Kiti chake kipo salama tuendako?

    Kwa mtizamo wangu suala la Ngorongoro ni suala la sekta au Wizara na siyo suala linalopaswa kusimamiwa Moja Kwa Moja na Waziri Mkuu. Ni suala lenye dynamics nyingi zikiwemo zinazoweza kufifisha Imani ya mataifa mbalimbali dhidi ya utawala uliopo madarakani. Ni suala linalofifisha ndoto za Mhe...
  3. B

    Je, Kuna watu wasio na Imani na Rais? Mbona nguvu kubwa inatumika kuwaaminisha Watu mazuri yake? Wanaomsifu wana Iman naye?

    Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania Hali inayoendelea nchini Kwetu inafanya baadhi ya Watu kuhoji labda wanaosema Wana imani na RAIS hawana Imani naye Bali...
  4. B

    Viongozi wa Tanzania mnafahamu kwamba wanaotukopesha (matajiri) wanafanya kazi saa ishirini na nne? Sisi tunakwama wapi kuruhusu biashara 24hrs?

    Jeshi la Polisi wanapiga marufuku wanafanya biashara ya usafirishaji abiria kufanya kazi masaa ishirini na nne lakini wao wapo kazini masaa ishirini na nne wanamlinda nani?Kwanini tumekariri kwamba tunapaswa kuwa na mfumo wa kufanya kazi Mchana pekee? Kwanini Polisi wasisimamie usalama wa...
  5. B

    Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

    TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao. Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana...
  6. B

    Wanasiasa wenye njaa wanapoendesha propaganda za kuwa ni maafisa vipenyo ni kudhalilisha kipenyo; wakubali njaa Haina siri

    Walionunuliwa Kwa vipande vya fedha Sasa hivi Kwa aibu wanajifanya maafisa vipenyo kwamba walikuwa upinzani Kwa KAZI maalumu; waache ushamba njaa ni njaa tu. Tulitumia nguvu kuwataja lakini Sasa hivi kadri wanavyokataliwa ndivyo wanavyojitokeza kuomba huruma ya uma, tukae kimya wajinyonge Kwa...
  7. B

    Ni lini majasusi wa Tanzania wataanza kuzuia (prevent) uhalifu badala ya Sasa ambapo wanafichua maovu baada ya serikali/wananchi kupata hasara?

    Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria. Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia...
  8. B

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa mtizamo wangu Mhe. RAIS ameanza vizuri kuboresha mahusiano baiana ya watanzania lakini Tanzania na mataifa ya nje. Amefanya vizuri katika project financing lakini amefeli kwenye project management. Anatoa Fedha kwenda kwenye miradi lakini msururu WA Watumishi wa umma wanaodeclare kwenda...
  9. B

    Kwanini CHADEMA wanaonekana wa muhimu kuliko vyama vingine awamu ya sita?

    Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa? Lakini pia kuitwa kwao ikulu...
  10. B

    Mtizamo wako kuhusu Rais Samia ulingoni na Tundu Lissu uchaguzi 2025

    Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi. KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri...
  11. B

    Prof. Hosea hali ni ngumu uchaguzi mkuu TLS, ulipaswa kuelewa kazi ya TLS Toka unaingia ofisini; usiwahadae wapiga kura na press release

    Mara kadhaa Prof. Hosea alipokuwa anaulizwa kuhusu msimamo wa TLS issue ya akina Halima Mdee alikataa kutoa msimamo wa chama hicho Cha kitaaluma. Ameona uchaguzi umekaribia na wapinzani wake wameelekea kushinda ameamua kupingana na msimamo wa Bunge, Mahakama na Serikali na kuja na msimamo wa...
  12. B

    Wapinzani simameni na Rais sakata la Bomba la mafuta; Mabadiliko ya tabia nchi hayasababishwi na Bomba la mafuta pekee, wanaharakati wanatumika

    Kuna clip inatrend baada tu Mhe. RAIS kutoka nchini Uganda ikionyesha kikundi kidogo Cha watu wakipinga uwekezaji kwenye Bomba la mafuta eti Ufaransa Kuna joto Kali kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Hawa wazungu Sasa wamekosa hoja, kwamba tuache kufanya maendeleo kisa kwao Kuna joto. Mbona...
  13. B

    Spika Dkt. Tulia Ackson mkanye Profesa Kitila Mkumbo anakunanga nje ya Bunge

    Maoni ya Kitila Mkumbo kuhusu issue ya Halima Mdee na Wenzake yanaonyesha anatambua akina Halima wapo Bungeni kinyume Cha Sheria na kwamba Chadema walifanya sahihi kuwqfukuza. Anatumia lugha ya picha kujificha kwenye kura ya wazi huku akijua Hata ndani ya bunge matumizi ya kura ya wazi ni...
  14. B

    Rostam alikimbia nchi, Seth, Rugemalila et al walikaa Gerezani; matajiri hawa wamejifunza nini kuhusu mfumo mbovu wa siasa Tanzania?

    Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama ayawezi kutumika kutulinda? Rostam afadhali yeye alikimbia nchi, akakamatwa ndugu yake na rundo la...
  15. B

    Wanasiasa wengi Tanzania na watumishi wa umma utajiri wao mkubwa ni nyumba, shamba la mifugo na mabasi mawili matatu. Fedha wanazoiba wanapeleka Wapi?

    Kuna mtu kacomment niende nikaangalie Majumba Mbezi bearch😃😃😃😃😃 hizi ndizo mentality zetu kwenye utajiri. Amejenga nyumba ya ghorofa ametoa wapi pesa!😃 Tutatokaje kwenye hizi thinking? Nimeleta mada ya wanasiasa wetu kutonufaika na wizi wanaoidhinisha, unapompa mtu Dili ya bilioni kadhaa wewe...
Back
Top Bottom