1. Kwa nini kiwanda chako kinatengeneza magunia chini ya kiwango kwa ajili ya export mpaka kuathiri biashara za mazao kama kahawa?
2. Fedha za mfuko gani sijui ila ilihusika suala la LIBYA siku hiyo ambazo Waziri Membe aliziomba kupitia kampuni kujenga kiwanda cha saruji LINDI unazimendea kwa...
NAPE asije akawa anatafuta upenyo wa kutumia maroli kubeba watu kuwapeleka JANGWANI a.k.a CHADEMA SQUARE. inawezekanaje konda agome kuwabeba wenye sare za ccm?
kama itatokea Mheshimiwa Rais Dr. Jakaya Kikwete kuteua baraza la mawaziri la mseto itakuwa sio kwa ajili ya kujitafutia umaarufu baada ya kumaliza muda wake wa utawala. Bali kushirikisha watu wanaoonekana kuwa na mawazo mazuri na haiba njema, uadilifu na kuaminika kutokana na kigezo wapo nje ya...
mnataka kutuaminisha kuwa kila mwenye vimaendeleo ni freemason? kama ndio hivyo na wale wasio na maendeleo kwa uzembe wao ni kina nani?
tunaelewa kweli nini maana ya fremanson? mfano baadhi ya raia wanasema mwanamuziki Jay Z ni freemanson ndio maana ana mafanikio makubwa. kwa nini asipate...
KERO YANGU
KUSHUKA KWA KIWANGO CHA JUU UBORA WA ELIMU ITOLEWAYO KATIKA SHULE ZA SERIKALI, SHULE ZA SEKONDARI NA SHULE ZA MSINGI. Kushuka huku kwa ubora wa elimu kunapelekea kuibuka kwa matatizo makubwa miongoni mwetu wakulima kwa sababu hatuna uwezo wa kumudu kuwasomesha watoto wetu shule nzuri...
KERO ZANGU
- Kupanda kwa gharama za pembejeo za kilimo na madawa ya mifugo. kwa upande wa pembejeo za kilimo eneo la mbolea bei zimekuwa zikipanda kila mwaka kwa kiwango kikubwa sana mfano msimu wa 2008-09 bei ya mfuko wa kilo 50 mbolea aina ya urea na can ilikuwa tsh. 35,000/- na msimu wa...
A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people.
John F. Kennedy
Read more: John F. Kennedy Quotes - BrainyQuote
Jambo la msingi ni kuongea na babu kuona ni jinsi gani anaweza kutoa huduma ya matibabu nje ya eneo ambamo yupo kwa sasa. Kama inawezekana dawa ikatengenezwa na kuweza kutumika eneo lolote tofauti na LOLIONDO itafaa. Na kama masharti yake kuwa ni lazima
mgonjwa aende LOLIONDO basi taratibu za...
Hapimwe? Hapimwe Uhadilifu Wake? Hapimwe nn? Hivi kweli kuna mtu ana mashaka na Ripoti Dr. Harrison Mwakyembe? Mnataka nn ili muamini jamaa hafai. Hau tunataka kujaribu sumu kwa kuilamba. HILI JAMBO HALIJENGI HATA KIDOGO " TUSIDANGANYIKE NA UZUSHI" Tusimame imara kulinda rasirimali za nchi yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.