Mfanyakazi wa Bodi ya Mikopo akamatwa kwa kuingiza Majina hewa na kujipatia ulaji mil 91 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyakazi wa Bodi ya Mikopo akamatwa kwa kuingiza Majina hewa na kujipatia ulaji mil 91

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jan 24, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ester Budili ambae ni mfanyakazi wa Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elim ya Juu, amekamatwa na polisi kwa kosa la Kugush na kumuibia mwajiri wake ambae ni Bodi ya Mikopo kiasi cha sh 91 mil.

  Inadaiwa kwamba Budili aliweka majina hewa 91 kwenye vyuo mbalimbali, kama vile Ustawi wa Jamii, DUCE, MZUMBE, BUGANDO.

  Chanzo: HABARLEO
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Pesa si zinatumwa chuoni? Atazichukuaje wakati zikifika chuoni wanaingiziwa wanafunzi kwenye account zao.

  Kwa Tanzania taasisi karibu zote zinakosa kitu kinachoitwa BUSINESS ETHICS vinginevyo madudu kama haya hayawezi kutokea, Mfano kama utaratibu ni pesa anaingiziwa mwanafunzi kwenye akaunti yake, na inafanyika hivyo hakuna mtu anaweza kufoji majina 91 ya benk akaunti
   
 3. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huyu akabidhiwe kwa wanafunzi wamwadhibu,huko polisi atahonga atolewe.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  sawa kabisa iliwafeel pain ya madudu yake..
   
 5. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  sure nakubaliana na baba collins huyo mdada apelekwa kwa wanafunzi wamuhukumu bumbavu kabisa huyo dada agghhhhh!
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  hili janamke linatakiwa kunyongwa kabisaa watu wanaandamana hela hawana halafu zembe moja linawabania linyongwage tu..
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Na mimi napatwa na wasiwasi!
   
 8. Root

  Root JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,326
  Likes Received: 13,032
  Trophy Points: 280
  Swali ni alizipata vipi hizo mil 91 kama hana umoja na wakuu wa hivyo vyuo kwani mikopo inaenda chuo kwanza then inafuata kwa wanafunzi so alie andika anauhakika?
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,153
  Trophy Points: 280
  Ana akili sana sasa anaona wenzie wanakula tuuuu bila yeye kupata mgao. Safi sana
   
 10. Root

  Root JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,326
  Likes Received: 13,032
  Trophy Points: 280
  Ni vigumu sana kwani siamini watu 91 wote ada zao ni mil 1 kila mmoja so huu ni uongo
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Gazeti la habari leo pia limetaja na majina ya wanafunz hewa pamoja na vyuo vyao,haya mambo yanawezekana,huenda ana link huko
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  eti eenh,haya ndege
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  huenda kuna mtandao mkubwa sana hapa,zote hzo hawez kuzilamba peke yake
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Jina lake ESTHER BUDILI ni very familiar kwangu... Nimemfahamia wapi huyu...
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  tujuze ulpomfahamia
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  anatimiza wajibu huyu,ubadhilifu ni wajibu kwa watanzania
   
 17. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Uuwiii!
  Watamtafuna bila chumvi.
   
 18. b

  beahunja Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo nchi yetu hakuna utaratibu kwa uthibiti wa mapato ya kila mmoja kulingana na source zake. ghafla mtu anakuwa na milioni 91 anachukuliwa poa.
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  huwa ndio ipo hivyo itabidi waanze na huyu halafu awataje na wenzake wote kitanzi tutaheshimiana..
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,484
  Likes Received: 5,868
  Trophy Points: 280
  Atakuwa Muhangaza huyu......miye namjua JOSHUA BUDIRI sijui yuko wapi kibonge yule
   
Loading...