Recent content by Batili

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ifute vibali vya Saruji kutoka Nje ya Nchi

    Vingine ni vya jamaa wa SuperDoll yeye ana kagera na Mtibwa sugar. Huu ni mchezo wa pamoja wa wasambazaji na wazalishaji, nakumbuka mwaka jana waziri alitolewa akaongia wasira akatangaza vibali ndani ya week moja
  2. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ifute vibali vya Saruji kutoka Nje ya Nchi

    Hii Vita ni kubwa bila kumsaidia Mh.Rais atakwama, vita inaongozwa na Dewji na Zakaria, mbaya zaidi Board ya Sukari inashiriki maana kwenye vibali ndo wanapokula. Hawa wahuni watafungia sukari iadimike.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ifute vibali vya Saruji kutoka Nje ya Nchi

    Huna unalojua, upungufu wa sukari unatengenezwa na wanyonyaji kina Mohamed Dewji na Zakaria ( Muzzal)
  4. B

    JamiiForums Tanzania Zitto anatuchanganya kuhusu posho! Wabunge CCM ndio...

    Hapo msigwa mkali kama mbogo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amuiga Rais Magufuli

    Akili ya Mende anayo mama yako,
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mapigano Wakulima na Wafugaji yaibuka tena Mvomero-Morogororo

    Kina Mbowe na Nyumbu wanapovaa hua wanamtisha nani??
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dar, matumizi ya nguzo za umeme kusitishwa, nyaya za umeme kupita chini ya ardhi

    Nakataa hilo, hatuna miundombinu ya kupitisha Nyaya Chini ya Ardhi... Hii ilipaswa kuandaliwa wakati wa ujenzi wa barabara kwa kuacha tunnel ya kuaccomodate hizo huduma. Hebu fikiria Dawasco wamechimba chini kivyao, Jamaa wa simu pia wakaja wakachimba na kukata bomba, leo Tanesco pia wachimbe na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Anayoyasema Muhongo katumwa na Magufuli?

    Labda kichwa chako ni dafu,au tikiti. Muhongo alikomaa mashirika ya serikali (TPDC na StamiCo) yawe mdau kwenye nishati na madini, hamkumsupport. Hata aliposema wawekezaji wa ndani ni madalali na wana pesa za maandazi na juice... Hamkumsupport kwa ukweli huo, badala yake mkamsimanga. Leo anaita...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

    Nyie ndo mnaolewa mjini, hapo ushamfata private... Sa ukiwa kweli si utamvulia nguo hadharani. Punguani wahed
  10. B

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

    Ujivuni wako haukusaidii kitu, hata nikikudanganya kama wewe unavyodanganya utaamini vipi? Akili iko matakoni kabisa, m a bit matured siwezi poteza muda na watoto wasiojielewa.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

    Kwa sababu wewe ni mtengenezaji, Comfortability my ass, kwa hiyo wewe una brand gani?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa aitaka TTCL kufanya biashara ya uhakika

    Mkuu tutaaminije unawachukia makaburu?
  13. B

    JamiiForums Tanzania TTCL yapata mkopo wa bilioni 46 kutoka benki ya TIB

    Mimi kama mzalendo ntaiunga mkono TTCL, wahuni wote wanaotuibia kwenye data na airtime ni muda wa kutafuta Nchi nyingine sasa, "the Giant is awake"
  14. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta duniani imeshuka, Tanzania bado bei ipo palepale

    Wacha unafiki we fala, huna unalojua
  15. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Tunataka Rais Magufuli atuambie waliokwepa Kodi ni kina nani

    Mbona walitajwa na list ikawekwa hadharani kwa Viwango
Back
Top Bottom