Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
9,395
20,630
Watu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake?

Umiliki

1. Toyota prado(new model)
2. Toyota Rav 4( new model)
3. Toyota crown majesta
4. Jeep cherokee
5. Toyota ractis(kwa mama)

Anajenga nyumba ya mabilioni tegeta, nani yupo nyuma ni juhudi binafsi ama?
 
Weka picha.
Hizi hapa kaka wala usijali sana.
images
 
Ngoja nimwite Munawar aje avi thaminishe hivyo vikopo, halafu unaweza kukuta majivuno yoote bima yake ni third party,motor vehicle zimekwisha,watu wanajivunia ng'ombe na mbuzi mazizini,washamba wanajivunia vigagari vya miaka ya tisini tena Toyota.,godamn!!!!.
 
Nyani Ngabu akija hapa atakwambia hivyo vigari vikuu kuu ndio mnamwita tajiri..

Alafu vigari vyenyewe vimepakiwa mpaka barazani.. teh teh teh Tajiri Nyerere
Mimi si mleta mada ila mimi nimemuonea huruma huyo aliyeomba picha halafu wakawa wanamponda ndio mimi nikamwekea.
 
Ngoja nimwite Munawar aje avi thaminishe hivyo vikopo, halafu unaweza kukuta majivuno yoote bima yake ni third party,motor vehicle zimekwisha,watu wanajivunia ng'ombe na mbuzi mazizini,washamba wanajivunia vigagari vya miaka ya tisini tena Toyota.,godamn!!!!.
Umeongea vizuri sana mwanzo ila umeharibu kuisema TOYOTA kama ni gari zisizo na thamani ila kumbuka ndio kampuni ya magari inayoongoza kwa mauzo duniani hadi kufikia mwaka 2014 ingia hapa uone Car manufacturers: largest car companies by sales 2014 | Statistic mwaka jana tu ndio wamepigwa bao na volkswagen.
 
To me hiyo sio gari, kama hoja yako ni USAFIRI from point A to B thats fine,but when it comes to comfortability durabiliry na luxury, hiyo sio gari,tafadhali usibishane Nami kuhusu magari
 
Back
Top Bottom