Anayoyasema Muhongo katumwa na Magufuli?

Mkuu, kwa usalama wa nchi uzalishaji ndiyo muhimu zaidi. Angalia wapumbavu kwenye reli Standard Gauge wanachukua wakenya wakati tuna ushindami wa moja kwa moja kuhusu bandari na reli. Lazima watuhujumu tu.
Mkuu, kwanza ngoja kwanza tuwekane sawa hapa kwa faida ya wengine! Tu-assume ni umeme wa maji:
  • Uzalishaji: Wewe unaenda kuweka mitambo yako pale Kidatu na ku-generate umeme; PERIOD!
  • Usafirishaji: Mtu anautoa hapo Kidatu to distribution center... may be national grid or Ubungo; PERIOD!
  • Usambazaji: Huyu anautoa umeme kutoka distribution centers kupeleka kwa walaji!!!
Ukiangalia huo mlolongo, msambazaji ndie mwenye main switch na kwahivyo huwezi kuiachia sekta binafsi kisha awe na control ya wapi umeme apeleke na/au azime na wapi asipeleke!

Huo mfano competition kwenye reli ya standard gauge ndo maana nikasema hapa ni kuchagua moja... kama kweli tunaamini TANESCO wana ubavu wa kuzalisha umeme wa kutosha... kuwe na jua au kuwe na mvua; basi kazi hiyo waifanye peke yao! Sasa swali ndo linafuata; je, TANESCO wanao uwezo huo? Ikiwa wameshindwa in 50 years ndo wataweza sasa? Lakini ikiwa utataka sekta binafsi iingie rasmi na sio kusubiri dharula; basi nidhamu ya biashara za ushindani inashawishi TANESCO asiwe mnunuzi huyo huyo, mzalishaji huyo huyo halafu anashindana na wazalishaji wanaotaka kumuuzia!
 
Why tanesco wazuiwe kuzalisha sasa?
why generation ya Tanesco iwe ya kwanza kubinafsishwa?
why now? why so fast?

Why Tanesco inyang'anywe generation? na itakiwe kununua aslimia 90?
huku uwezo haina wa kununua? nani atakaeumia?
Hii kitu kiujumla inaitwa 'deregulation of electricity market', ni kitu kimefanyika nchi nyingi na kinaendelea kufanyika. Dhana ya mfumo huu ni kwamba shughuli za umeme (uzalishaji, usambazaji na uuzaji umeme) ni ngumu (complex) kiasi kwamba zinapofanywa na kampuni moja (e.g.TANESCO) kunakuwa hakuna ufanisi. Hivyo shughuli hizi zikigawanywa na kupewa makampuni mbalimbali basi kutakuwa na ushindani utakaopelekea kuwepo huduma bora na ufanisi

Mfano mzuri ni sekta ya mawasiliano ya simu (telecommunications). Utakuwa unakumbuka enzi za TTCL ambapo hata ukiwahonga wanaweza wasikuunganishie simu nymbani kwako. Hakukuwa na huduma nzuri kwa wateja-bili za kubambikiza, n.k. Baada ya 'deragulation', sasa tunapata dakika kumi na tano kwa shilingi 500.

Sasa katika kujibu swali lako, sekta ya umeme iko tofauti kidogo na sekta nyingine. Kama unafanya deregulation, lazima uhakikishe hakuna kampuni ina nguvu kubwa kupita kiasi katika soko, maana itazuia ushindani na inaweza hata kupandisha bei ya umeme kwa 'kutengeneza uhaba wa umeme' ambao kimsingi haupo ili kufanya bei ziwe juu. Nchi zote zinazofanya deregution ya umeme moja ya masharti zinazoyafuata ni kubinafsisha makampuni yenye monopoly. So kuuzwa kwa Tanesco ni kuzuia kitu inaitwa 'Market Power'. Ndo kusema Tanesco itatakiwa ibakiwe na kazi ya kujenga na 'kupangisha' transmission and distribution lines tu. Kutakuwa na makampuni ya uzalishaji umeme ya binafsi (tayari yapo-IPTL,Songas), makampuni ya kuuza umeme na kampuni moja ya umma ya kukodisha na kujenga transmission lines. Kenya hili wameshalifanya.

Kiujumla hili ni suala ya kulifanya kwa ueledi na uaminifu mkubwa maana kuna ujanja ujanja mwingi unaweza kukwamisha mambo kama ilivyotokea California, USA. Kuna wajanja watabuku transmission lines ili kuwazuia wengine wasipitishe umeme wao na hivyo kuzuia wengine wasifanye biashara. Kuna wengine watajifanya wanazifanyia plants zao matengenezo kumbe wanataka kutengeneza uhaba wa umeme ili bei iwe ya kuruka.

Mwisho, kama alivyosema mdau, hili wazo lipo zaido ya miaka 10 iliyopita, lilikosa fedha za utekelezaji tu.
 
Magufuri angalia mtu huyu kujua kwingi huaribu maarifa akisema tanesco isizalishe kabisa umeme iwe inasambaza tu umeme tunarudi kule kwenye richmond watajipangia bei zao wataingia mikataba mibovu kama hivi leo muhongo sijui kafikiria nini
Ni kweli dhana ya mfumo huu mpya wa sekta ya umeme una makandokando yake. Lakini hii sio plan ya Muhongo, ipo kwenye makabati ya Tanesco toka kipindi Muhongo yuko Chup anashika chaki. Ni kitu tayari kifanyika USA, Chile, Argentina, n.k. Hata Kenya nao wanahamia katika mfumo huo mpya.
 
Kwanza niseme nimemuunga mkono Magufuli kwa kurekebisha kosa alilolifanya
la kumteua Eliai\kim Mawsi TRA bila kujali sana watu watasemaje..
kitendo cha kumuondoa haraka Maswi ni kizuri....

Sasa cha kushangaza ni kuwa toka waziri Muhongo ateuliwe
ni kama amekuja na 'sera zake binafsi' kuhusu umeme

Muhongo hataki kabisa Tanesco wazalishe umeme wao.....mara kwa mara
anazungumza na kusema 'WAWEKEZAJI WAJITOKEZE' au 'UZALISHAJI WA UMEME UFANYWE
NA SEKTA BINAFSI'...hili amerirudia zaidi ya mara 10 toka apewe hii wizara

Kibaya zaidi ameanzisha mchakato ambao ulizuiwa alipoondolewa wa kubinfsisha
'uzalishaji umeme unaofanywa na Tanesco'

Anataka Tanesco ibaki na kusambaza na kusafrisha umeme tu huku 'IKINUNUA UMEME'
kutoka kwa 'HAO WAWEKEZAJI BINAFSI ANAOWAPIGIA DEBE'

Yaani sio tu wawekezaji binafsi waje kuwekeza vyanzo vipya lakini na 'vyanzo vyote vya Tanesco'
viende mikononi kwa wawekezaji binafsi....

Ikumbukwe Tanesco haiwezi kununua umeme na kuuza....sababu 'umeme wa kununua ni ghali sana'

Tanesco ili iweze kununua inalazimika kupewa ruzuku na Serikali kuu'

Achilia mbali baadhi ya hao wawekezaji binafsi wanatumia mitambo ambayo ilinunuliwa na Tanesco..
lakini wanaitumia kuwauzia umeme Tanesco kwa bei ghali na kodi hawalipi kabisa au kulipa kidogo sana

Hiii yote ilikuwa ni mipango ya Muhongo kabla hajaondolewa....
alipoondolewa Tanesco ikaanza kujiimarisha kuzalisha yenyewe umeme...

Sasa karudi na keshaanza tena kuwapigia debe 'wawekezaji binafsi'

Swali ni je Magufuli ana yaa approve yote haya?

Hii ni sehemu ya mipango mipya ya Magufuli?

kwamba Tanesco inunue umeme asilimia 90 au 100 ndo iuze?
ina uwezo huo?
itasaidia kweli?

ni mipango ya serikali yote au Muhongo binafsi?
Labda kichwa chako ni dafu,au tikiti.
Muhongo alikomaa mashirika ya serikali (TPDC na StamiCo) yawe mdau kwenye nishati na madini, hamkumsupport.
Hata aliposema wawekezaji wa ndani ni madalali na wana pesa za maandazi na juice... Hamkumsupport kwa ukweli huo, badala yake mkamsimanga.
Leo anaita wawekezaji mnaongea tena, mnataka nin?
 
Proposal ya Muhongo ni sahihi kabisa na ni ya wakati muhafaka kabisa...! Kwanza hata hivyo umeme mwingi tuna nunua....!
 
Maswali yako mbona ya kitoto sana? Tena serikali ifanye haraka kuhamasisha wawekezaji kuwekeza kuzalisha umeme. Nchi zilizoendelea zinatumia utamaduni huo. Serikali ibaki na kazi moja tu ya kusambaza umeme kwa wananchi. Mambo ya uzalishaji waachiwe sekta binafsi. Wapo akina IPTL, SONGAS, AGGREKKO na wengine ambao wamekuwa wakifanya hivyo tangu muda mrefu. Cha muhimu hapa ni serikali kuwapangia bei hao wazalishaji ili wasituumize wananchi

Wakicolude serikali itawapangiaje bei? think deeper beyond your nose!!!!
 
Maswali yako mbona ya kitoto sana? Tena serikali ifanye haraka kuhamasisha wawekezaji kuwekeza kuzalisha umeme. Nchi zilizoendelea zinatumia utamaduni huo. Serikali ibaki na kazi moja tu ya kusambaza umeme kwa wananchi. Mambo ya uzalishaji waachiwe sekta binafsi. Wapo akina IPTL, SONGAS, AGGREKKO na wengine ambao wamekuwa wakifanya hivyo tangu muda mrefu. Cha muhimu hapa ni serikali kuwapangia bei hao wazalishaji ili wasituumize wananchi

Hivi unavyo sikia Serikali sijui ya Indonesia imetoa tenda kwa kampuni ya nguvu za nuclear ua Urusi ili ijenge kinu cha kuzalisha umeme huwa wana manisha nini?

Hayo mataifa unayo yasema yana control production ya umeme, na serikali za nchi hizo ndo hujenga au kuwekeza kwenye kuzalisha umeme, acha upotoshaji,
 
Why tanesco wazuiwe kuzalisha sasa?
why generation ya Tanesco iwe ya kwanza kubinafsishwa?
why now? why so fast?

Why Tanesco inyang'anywe generation? na itakiwe kununua aslimia 90?
huku uwezo haina wa kununua? nani atakaeumia?

Wapi wewe unapata hizi habari za TANESCO wanazuiwa kuzalisha? Wapi unapata hii ya "generation ya Tanesco" (sic) iwe ya kwanza kubinafsishwa? Na hayo mengine yote ya "why itakiwe kununua asilimia 90" unayapata wapi?

I must say you very ill informed. Embu hao wanaokulisha hizo information waulize kuhusu uzalishaji wa Kinyerezi I na Kinyerezi II?
 
Muhongo labda anazungumzia wawekezaji wa nje,
Mana wawekezaji wa ndani wana hela ya biashara bya maandazi by Muhongoo
 
Kwanza niseme nimemuunga mkono Magufuli kwa kurekebisha kosa alilolifanya
la kumteua Eliai\kim Mawsi TRA bila kujali sana watu watasemaje..
kitendo cha kumuondoa haraka Maswi ni kizuri....

Sasa cha kushangaza ni kuwa toka waziri Muhongo ateuliwe
ni kama amekuja na 'sera zake binafsi' kuhusu umeme

Muhongo hataki kabisa Tanesco wazalishe umeme wao.....mara kwa mara
anazungumza na kusema 'WAWEKEZAJI WAJITOKEZE' au 'UZALISHAJI WA UMEME UFANYWE
NA SEKTA BINAFSI'...hili amerirudia zaidi ya mara 10 toka apewe hii wizara

Kibaya zaidi ameanzisha mchakato ambao ulizuiwa alipoondolewa wa kubinfsisha
'uzalishaji umeme unaofanywa na Tanesco'

Anataka Tanesco ibaki na kusambaza na kusafrisha umeme tu huku 'IKINUNUA UMEME'
kutoka kwa 'HAO WAWEKEZAJI BINAFSI ANAOWAPIGIA DEBE'

Yaani sio tu wawekezaji binafsi waje kuwekeza vyanzo vipya lakini na 'vyanzo vyote vya Tanesco'
viende mikononi kwa wawekezaji binafsi....

Ikumbukwe Tanesco haiwezi kununua umeme na kuuza....sababu 'umeme wa kununua ni ghali sana'

Tanesco ili iweze kununua inalazimika kupewa ruzuku na Serikali kuu'

Achilia mbali baadhi ya hao wawekezaji binafsi wanatumia mitambo ambayo ilinunuliwa na Tanesco..
lakini wanaitumia kuwauzia umeme Tanesco kwa bei ghali na kodi hawalipi kabisa au kulipa kidogo sana

Hiii yote ilikuwa ni mipango ya Muhongo kabla hajaondolewa....
alipoondolewa Tanesco ikaanza kujiimarisha kuzalisha yenyewe umeme...

Sasa karudi na keshaanza tena kuwapigia debe 'wawekezaji binafsi'

Swali ni je Magufuli ana yaa approve yote haya?

Hii ni sehemu ya mipango mipya ya Magufuli?

kwamba Tanesco inunue umeme asilimia 90 au 100 ndo iuze?
ina uwezo huo?
itasaidia kweli?

ni mipango ya serikali yote au Muhongo binafsi?
Kama ni kweli kuwa uzalishaji umeme uwe wa private sector, it is shocking kwani tunaelekea kwenye kulipa capacity charges kama zile za IPTL. Tuelemishwe itakuwaje. Sipendi huo mpango. Tumechoka na kulipa capacity charges!
 
Wewe ndo unatakiwa kutumia akili! Kwani suala la wafanyabiashara binafsi kuzalisha umeme ni geni hapa Tanzania?
Sio swala geni tume ona ni Wizi mtupu.pia hiyo distribution mmeiacha kwajili ya sababu zenu Za kisiasa na sio mapenzi mliyo nayo Kwa wananchi hakuna kampuni binafsi itakayo kubali kuchukua distribution
 
Labda kama unazungumzia uzalishaji wa Big G! Yaani mtu ameingia hasara ya billions of TZS halafu agome kuzalisha tu bila sababu? Unless kama hao wazalishaji wanakuwa vyama vya siasa!
Kuna kitu hujakijua ndio maana unaongea ukihisi hilo jambo ni gumu sana, pole sana aisee hii inchi ni tofauti kabisa na ujuavyo. Hiyo mikataba ni kinyaa tupu wewe huoni unaambiwa ni siri. Shauri lako na pole sana.
 
Kwanza niseme nimemuunga mkono Magufuli kwa kurekebisha kosa alilolifanya
la kumteua Eliai\kim Mawsi TRA bila kujali sana watu watasemaje..
kitendo cha kumuondoa haraka Maswi ni kizuri....

Sasa cha kushangaza ni kuwa toka waziri Muhongo ateuliwe
ni kama amekuja na 'sera zake binafsi' kuhusu umeme

Muhongo hataki kabisa Tanesco wazalishe umeme wao.....mara kwa mara
anazungumza na kusema 'WAWEKEZAJI WAJITOKEZE' au 'UZALISHAJI WA UMEME UFANYWE
NA SEKTA BINAFSI'...hili amerirudia zaidi ya mara 10 toka apewe hii wizara

Kibaya zaidi ameanzisha mchakato ambao ulizuiwa alipoondolewa wa kubinfsisha
'uzalishaji umeme unaofanywa na Tanesco'

Anataka Tanesco ibaki na kusambaza na kusafrisha umeme tu huku 'IKINUNUA UMEME'
kutoka kwa 'HAO WAWEKEZAJI BINAFSI ANAOWAPIGIA DEBE'

Yaani sio tu wawekezaji binafsi waje kuwekeza vyanzo vipya lakini na 'vyanzo vyote vya Tanesco'
viende mikononi kwa wawekezaji binafsi....

Ikumbukwe Tanesco haiwezi kununua umeme na kuuza....sababu 'umeme wa kununua ni ghali sana'

Tanesco ili iweze kununua inalazimika kupewa ruzuku na Serikali kuu'

Achilia mbali baadhi ya hao wawekezaji binafsi wanatumia mitambo ambayo ilinunuliwa na Tanesco..
lakini wanaitumia kuwauzia umeme Tanesco kwa bei ghali na kodi hawalipi kabisa au kulipa kidogo sana

Hiii yote ilikuwa ni mipango ya Muhongo kabla hajaondolewa....
alipoondolewa Tanesco ikaanza kujiimarisha kuzalisha yenyewe umeme...

Sasa karudi na keshaanza tena kuwapigia debe 'wawekezaji binafsi'

Swali ni je Magufuli ana yaa approve yote haya?

Hii ni sehemu ya mipango mipya ya Magufuli?

kwamba Tanesco inunue umeme asilimia 90 au 100 ndo iuze?
ina uwezo huo?
itasaidia kweli?

ni mipango ya serikali yote au Muhongo binafsi?

Duh! Capacity charges zingine zinatengenezwa sasa.
 
Mh. Muhongo yuko sahihi muacheni aendelee kusimamia mpango huo. Ni mzuri na utadhibiti njia nyingi za panya kupitia tanesco. Shirika lile limeoza kabisa linahitaji kufagiliwa.
 
Back
Top Bottom