Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amuiga Rais Magufuli

Combative

Member
Apr 19, 2014
58
103

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    171.8 KB · Views: 39
Huyo ana kashifa ya kutumia fedha za umma kukarabati nyumba yake hivyo anajikosha tu kwa wananchi wake wanaotaka awajibike.In short ni mnafiki tu
 
Na wakome
siku hizi ajira Serikalini ni kitanzi kwa yeyote anayekimbilia huko
watu mnajaza watoto, nyumba ndogo, na ndugu liOfisi moja mpaka linachukiza
Kama Bondeni kwa Zuma nako watafanya hivyo basi unaonesha bora Mkoloni alitaka kazi tu
 
Huyo ana kashifa ya kutumia fedha za umma kukarabati nyumba yake hivyo anajikosha tu kwa wananchi wake wanaotaka awajibike.In short ni mnafiki tu
Hujaelewa point! Hapo tunachosema ni kwamba measures alizochukua Zuma ni Copy & Paste ya Magufulification....whether amefanya hivyo kinafiki au amedhamilia, bado ukweli ni kwamba amechukua kutoka kwa JPM
 
Dunia imebadilika. Siyo kampuni ,mashrika au nchi sasa hivi ili usogee mbele nidhamu ni kwenye matumizi. Vinginevyo utaona wengine wakisogea wewe ukiwa umesimama
 
hana ubavu wa kumuiga magufuli huyo vitu hivi ili uvifanye kwa ufanisi lazima uwe na moral credibility au uwe beyond reproach ndio utaeleweka vingnevyo jiunge na kina senga,pembe,ntanga. amechukua dolar 23 mlion za serikali kukarabati nyumba yake nani atamwelewa!?
 
Ata copy tu .
Lakini kwa tuhuma zake hawezi mfikia
Magufuli .

Vizuri kuona lakini .
 
Kubana Matumiz hakukuanza na Magufuli ni toka enzi za JK matumiz yalibanwa sana. Nyinyi wote ni mashahid pesa ya RADA ilivyotumika. Pia tulikuwa na jeshi dogo la kisasa. Balozi chache nje ya nchi. n.k.
 
hana ubavu wa kumuiga magufuli huyo vitu hivi ili uvifanye kwa ufanisi lazima uwe na moral credibility au uwe beyond reproach ndio utaeleweka vingnevyo jiunge na kina senga,pembe,ntanga. amechukua dolar 23 mlion za serikali kukarabati nyumba yake nani atamwelewa!?
Lakini amemuiga Magufuli.
 
Hujaelewa point! Hapo tunachosema ni kwamba measures alizochukua Zuma ni Copy & Paste ya Magufulification....whether amefanya hivyo kinafiki au amedhamilia, bado ukweli ni kwamba amechukua kutoka kwa JPM
Safi kabisa anaonyesha njia. Mpaka uingereza wamemuiga kufanya Usafi siku ya sikukuu. Go Mh. Magufuli go!
 
yaani huyo standard seven zuma ndo mnamdiscuss? hivi hamna vitu vya maana vya kuleta kumu?
 
Hizi siasa zimewafanya watu wawe kama mazezeta, yan south africa sio nchi ya kujifananisha nayo kwa kitu chochote kile, wala hiz nchi sio hata kutolea mifano, ni giants, unapolinganisha policy za nchi, jarib kwenda uganda, malawi, congo, burundi nk, yaan baada ya miaka ishirin hivi, given the fact kwamba rais ni Magufuli naye aamue kuweka pembeni ujiko wa media, ndo ujaribu kujilinganisha na kenya, kabla ya ghana, ethiopia, nigeria na zingine, tusipende kuropoka mambo tusiyoyajua.
 
Mkuu hao ni Watanzania wachache tu wenye kuamini huu upofu sio wote! Hao ni wale wala viwavi pekee!

Yaani unakuta jitu lina bichwa kuuubwa lakini ndani yake hakuna kitu!

I mean, toka lini kubana matumizi kukawa ni kumuiga Magufuli?

Seriously?

So stupid!
 
Hizi siasa zimewafanya watu wawe kama mazezeta, yan south africa sio nchi ya kujifananisha nayo kwa kitu chochote kile, wala hiz nchi sio hata kutolea mifano, ni giants, unapolinganisha policy za nchi, jarib kwenda uganda, malawi, congo, burundi nk, yaan baada ya miaka ishirin hivi, given the fact kwamba rais ni Magufuli naye aamue kuweka pembeni ujiko wa media, ndo ujaribu kujilinganisha na kenya, kabla ya ghana, ethiopia, nigeria na zingine, tusipende kuropoka mambo tusiyoyajua.
Duh, kuna watu wanajiona duni sana hapa duniani.
 
Back
Top Bottom