Wana jamii,
Naomba maelekezo. Kwa muda mrefu nimekua natumia vinywaji vya bei mbaya kama vile johnny walker black na Glenfiddich. Sasa vyuma vimekaza nimejaribu konyagi naona kama iko poa lakini bei yake rahisi sana. Ebu nipeni ubaya wa konyagi.
Watu humu wako negative hamna tena dunia nzima. Gentamycine nakubaliana na wewe ule muungurumo na kasi haikua kawaida mpaka mbwa wangu German shepherd alikua anatetemeka na ni mbwa anaeaminika mtaani.
Naskia amefilisika hata hawezi kulipa mishahara. Watendaji wake wakubwa wamesepa wameanzisha practice zao kwa hiyo mkono advocates iko hoi bin taaban, halafu Alzheimer ime kick in. Ila kasaidia sana musoma vijijini kwa kujenga shule za maana.
Hayo ni mawazo ya kale na kikoloni. Utaweza kufanya hivyo iwapo mkweo ni mbumbumbu tena wa kijijini.kwa mfano mke wako ni msomi na anakazi nzuri anapewa simu kazini utamkataza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.