Wanaume wa Dar mnapokuja mikoani tabia zenu mziache uko uko

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,072
Reaction score
8,772
Nimetembelewa na jamaa angu wa dar,jana tulitoka kwenda sehemu kuangalia mpira, uku na kule Bakayoko akakosa goli ye na kipa jamaa likakurupuka kwa Sauti Eti "OHOO JOMONI BAKAYOKO UNAKOSAJE HAPO JOMONI" nyie wa dar mnatuaibisha wenyeji wenu uku mikoani
 
Si riziki huyo
 
Huyo atakuwa mwenzenu wa mkoani. Haiwezekani mwanaume wa mjini amjue mwanakijiji anayejiita Bakachoko
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ah kudadeki
 
Takwimu zimetoka zinasema nyie wanaume wa mikoani mnaongoza kupigwa na wake zenu licha ya kula magimbi na ugali wa kuchoma asubuhi, wito umetolewa mnapopigwa na wake zenu muende kushitaki msaidiwe.
 
890c3a396632bcb0fbeb0ec4d4c747bc.jpg

Haya mkawasaidie wamkoa wenzenu huko.
 
Uanaume mwisho mlandizi dar kila mtu mvulana
 
Muda huu ulitakiwa uwe shambani unalinda mazao yako,watu wa porini sijui mmekuaje siku hizi,kupigwa na wanawake nyie,kukimbiwa na wanawake nyie,hebu jikazeni aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom