Vip ila,ujue kuna uwezekano wa kukupa false negative,,,so sio umpime mtu na kumkaza sa iyo iyo,,,hivi vipimo vya sasa vina uwezo wa kudetect kuanzia week nne tangu maambukizi yatokee.
Pia kuna muda wa kusoma majibu,,ukikiacha kikilala ama kikipita dakika 20-30 kinaeza kuji oxidize na kukupa...