Nikanunue wapi kifaa cha HIV test?

Bata

Senior Member
Apr 8, 2009
111
2
Update information on the SD Bioline HIV-1/2 v3.0 In November 2011, the World Health Organization issued a Field Safety Notice advising that its Prequalification of Diagnostics Programme had found an unacceptably high rate of invalid test results with devices of certain lots of SD Bioline HIV-1/2 3.0 (product code 03FK10) manufactured by Standard Diagnostics at 156-68, Hagal-dong, Giheung-ku, Yongin-si, Kyonggi-do 446-930, Republic of Korea.

The problem:

The devices giving invalid test results show a substantial red background colour in the test window where results are read. This blurs the visibility of the test lines and therefore makes correct interpretation of the test result impossible. This means that no test result can be given, rendering the test invalid. A valid negative test result shows one line, i.e. the control line (C) on a clear background. A valid positive result may show either two or
three lines, i.e. the control line (C) and one or two test lines (T1 and/or T2) , indicating respectively HIV-1 and/or HIV-2.

Action by Standard Diagnostics:
Standard Diagnostics conducted a root-cause analysis, as recommended by WHO, of the defect at the Korean facility. Subsequently, the company issued voluntary recalls of all lots identified as defective during the course of the investigation. These are: 023418, 023418B, 023419, 023424, 023424B, 023425B, 023426B, 023427, 023427B, 023428, 023428B, 023429B, 023430, 023430B.

Additional defective lot numbers have since been identified: 023413B, 023425, 023426, and 023429. WHO recommendations:
Any pending procurement of the product should be cancelled, and no new procurements initiated until further notice.

====================================

Nahitaji kupata msaada wa wapi naweza kununua HIV self testing kit kwa matumizi binafsi.

Je, sheria inaruhusu? hata kama hairuhusu, si naweza kupata?
 
Nahitaji kupata msaada wa wapi naweza kununua HIV self testing kit kwa matumizi binafsi.

Je, sheria inaruhusu? hata kama hairuhusu, si naweza kupata?
 
Itanifaa Sana Hii
Maana Kuna Maeneo Kuyatembelea Inaleta Shida
So Nikiwa Na Hii Kitu, Najifungia Zangu Gheto..Namaliza!
Ahsante Jigo
aisssss...unataka uwe unacheki status kwanza na unakula...haya bana!!
 
Itanifaa Sana Hii
Maana Kuna Maeneo Kuyatembelea Inaleta Shida
So Nikiwa Na Hii Kitu, Najifungia Zangu Gheto..Namaliza!
Ahsante Jigo

Masihara hayo! Labda upate inayo detect vilivyoingia hata wakati huo huo. Study vizuri swala hili kwanza.
 
Hii kitu na Mie nahitaji nkikwapua twafika gesti twaanza kupimana kwanza badala ya condom ntatembea na hiki kitu
 
Hii kitu na Mie nahitaji nkikwapua twafika gesti twaanza kupimana kwanza badala ya condom ntatembea na hiki kitu

hahaaa! kwani hujui kupima ni hiari na inatakiwa uwe umejiandaa kisaikolojia? akikataa je? zinauzwa pharmacy
 
Madokta na Wataalafu wa Afya:

Je ni salama kutumia hizi Deteminer au Unigold kufanya self test na mwenza wako mkiwa faragha na kuamini majibu?

Nasema hivi maana yake mimi huwa nafanya hivyo mara nyingi, na kati ya niliopima nao, kuna 2 niliwapata Positive, 1 nlimshauri kwenda kucheki zaidi maake huenda ilikuwa sio kweli, akakuta majibu yalyale pos, na mwingine sikufatilia majibu yake.

Huwa nnaanza kujipima na kumwomba mwenzangu naye apime, vipimo hivi hutumia tone dogo la damu toka kidole mkono wa kushoto, Je wataalamu njia hii mnashauri nini?
 
vipimo hivi huwa vinadanganya, hasa ukiona negative. ila ukiona imeonyesha positive, ujue ni kweli havidanganyi. nasema hivi kama vimeonyesha negative usiamini kwasababu wakati mwingine ngoma huwa inaonekana baada ya miezi mitatu tangu mtu ashike, hivyo kama amenasa ana mwezi mmoja tu haijasambaa mwili wote unaweza kupima kumbe damu uliyoiminya ni salama ila ile iliyobaki labda ilikuwa inazunguka maeneo mengine ya mwili ni positive, hivyo ukajikuta majibu yanaonekana negative kumbe ndani ya mwili huo kuna positive lakini ukimwi upo initial stages tu. kama ukiona demu ameonekana negative, usipige kavu, piga na mpira.

vilevile, usiogope tu ngoma, siku hizi hata kama mtu hana ngoma anayo hepatitis, ugonjwa wa ini unaoenezwa kwa ngono ambao ni mbaya kuliko ngoma kwani hauna arv....cha muimu ni kuacha ngono nje ya ndoa tu ndio suluhisho. mwisho, kama umeshapiga kavu mzee, nakushauri kaa miezi mitatu nenda kapime, inawezekana umeshanasa.
 
Back
Top Bottom