bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,883
Sikumbuki mara ya mwisho kuomba radhi ilikuwa lini!
hayaaa weee
Sikumbuki mara ya mwisho kuomba radhi ilikuwa lini!
Sikumbuki mara ya mwisho kuomba radhi ilikuwa lini!
Kuombwa radhi nako lini mara ya mwisho!
Statistical package iliyotumiwa ilihusisha yote hayo na sample size ilikuwa kubwa sana!
Dada akiliwa tiGo kwa makubaliano yao mimi kwangu shega na hainihusu!
Kama hataki kukupa tunda usihangaike nae matunda yapo mengi sana sokoni we nenda kanunue tuu!!wana JF, nina rafaiki yangu ambaye bado hatukufikia hatua ya uchumba,kwa mara ya kwanza baada ya kunikubalia ombi langu,alinisumbua sana kunipa tunda,mpaka tukatana kuachana ndio akakubali kunipa,na baada ya kunipa alisema alikuwa anaogopa kwa sababu hakuwahi kumegwa, na sasa nimeshammega mara kadhaa, lakini hivi juzi tu nimemkumbushia kuhusu kula tunda ameniambia tusiwe tunafanya hivyo tena tusubiri mpaka tufunge ndoa,mana anasema tunafanya dhambi, nami nilikubali lakini kwa sasa naona kukosa kitu muhimu kwani nammiss sana kiasi cha kushindwa kuvumilia,
sasa tatizo linakuja suala la ndoa bado litachukua muda kama mwaka na zaidi hivi,ina mana muda wote huo nisile tunda langu? nafikiria kumsaliti sasa kwani siwezi kukaa muda wote huo,nifanyeje jamani?
sample size ilikuwa ndogo.
KAMA VIPI nipe namba ya dadako nianze nae.
Leo asubuhi. Nilijisahau nikamnawa mke wa mtu. Badala ya mimi kuomba radhi, nikaombwa mimi radhi. Inaelekea nilimkuna!
Kama hataki kukupa tunda usihangaike nae matunda yapo mengi sana sokoni we nenda kanunue tuu!!
umekosea kudhani tunda ni lako,si lako mjomba ndiomana ukanyimwa,hiyo ni moja.mbili,inaelekea huna mapenzi ila una kiu kali ya ngono kiasi huwezi kusubiri mwaka,ndiomana upo tayari kungonoka na yoyote yule ili upunguze kiu yako.Mi nadhani hutaki kushauriwa ila unahitaji hamasa ya kutimiza maovu.kama ushauri ulishapewa na mwenzio acheni kufanya madhambi mtafanya mkifuata taratibu zinazotakikana,sasa unata ushauri gani mjomba? au ndo unataka tukuambie ukabake? au ukanunue?,cha kufanya ni kama alivyokwambia huyo demu wakowana JF, nina rafaiki yangu ambaye bado hatukufikia hatua ya uchumba,kwa mara ya kwanza baada ya kunikubalia ombi langu,alinisumbua sana kunipa tunda,mpaka tukatana kuachana ndio akakubali kunipa,na baada ya kunipa alisema alikuwa anaogopa kwa sababu hakuwahi kumegwa, na sasa nimeshammega mara kadhaa, lakini hivi juzi tu nimemkumbushia kuhusu kula tunda ameniambia tusiwe tunafanya hivyo tena tusubiri mpaka tufunge ndoa,mana anasema tunafanya dhambi, nami nilikubali lakini kwa sasa naona kukosa kitu muhimu kwani nammiss sana kiasi cha kushindwa kuvumilia,
sasa tatizo linakuja suala la ndoa bado litachukua muda kama mwaka na zaidi hivi,ina mana muda wote huo nisile tunda langu? nafikiria kumsaliti sasa kwani siwezi kukaa muda wote huo,nifanyeje jamani?
Mkuu kuna mada kibao wadau hapa JF wakifagilia tiGo! na mwisho wa mijadala yote ilionekana tiGo inaleta heshima kwenye ndoa. Kuna wale wajuvi wa hesabu za takwimu (statistics) walikuja na p value ya 0.0001 significant levels umuhimu wa tiGo kwenye ndoa. Shauri yako kama hujaanza
Jaribu tiGo atakuwa anakupima huyo!
Mkuu kuna mada kibao wadau hapa JF wakifagilia tiGo! na mwisho wa mijadala yote ilionekana tiGo inaleta heshima kwenye ndoa. Kuna wale wajuvi wa hesabu za takwimu (statistics) walikuja na p value ya 0.0001 significant levels umuhimu wa tiGo kwenye ndoa. Shauri yako kama hujaanza
haki zote kati ya wanandoa zinapatikana kwenye kitabu hiki. conjugal right (haki ya kujamiiana na mkeo) ipo humu kwenye kitabu hiki cha sheria kwa kiswahili pia, sijui huyo mpenzi wako umeoana naye au ni hawara. pata kitabu hiki utajua yote haya na hutauliza swali tena. bofya SHERIA KWA KISWAHILIwana JF, nina rafaiki yangu ambaye bado hatukufikia hatua ya uchumba,kwa mara ya kwanza baada ya kunikubalia ombi langu,alinisumbua sana kunipa tunda,mpaka tukatana kuachana ndio akakubali kunipa,na baada ya kunipa alisema alikuwa anaogopa kwa sababu hakuwahi kumegwa, na sasa nimeshammega mara kadhaa, lakini hivi juzi tu nimemkumbushia kuhusu kula tunda ameniambia tusiwe tunafanya hivyo tena tusubiri mpaka tufunge ndoa,mana anasema tunafanya dhambi, nami nilikubali lakini kwa sasa naona kukosa kitu muhimu kwani nammiss sana kiasi cha kushindwa kuvumilia,
sasa tatizo linakuja suala la ndoa bado litachukua muda kama mwaka na zaidi hivi,ina mana muda wote huo nisile tunda langu? nafikiria kumsaliti sasa kwani siwezi kukaa muda wote huo,nifanyeje jamani?