Recent content by basubasanga

  1. B

    JamiiForums Tanzania Albert Einstein: Kutoka kuwa kilaza darasani hadi kuwa nguli wa fizikia

    Hakuwa mmarekani Alikuwa ni muisrael pure alikuwa ujerumani Kabla ya Vita vya 2 vya Dunia kama ilivoa ada kuwa wayahudi wengi sana walikuwa ujerumani lkn hakuwa RAIA wa ujerumani Baada ya Hitler kuanza kuwauwa wayahudi Albert Einstein pia alikamatwa mda huo vita vga 2 vya dunia vimeanza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ongeza ufaulu wa somo la history kwenye shule/centre yako

    Mfano causes of economic crisis in Tanzania in 1980s Ukataka Natural calamities ukaelezea nn maana ya natural calamities ukataja mfano labda drought in 1974s lazima sasa ulink negative impacts za drought ktk kuleta economic hardship
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Wa Kufundisha General Studies Anahitajika

    Kama upo dar utafundishwa bure nitafute 0744527129
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali za mitaa zinaanzia ngazi gani?

    Kwa kijijini zinaanzia kitongoji sawa na m, kiti wa mtaa kwa mjini
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni mbinu za kufanikiwa kwenye mitihani

    Unatakiwa kujipambanua ujue lenho lako kubwa unataka kuwa Nani Unajua masomo ya kukufanya ufike huko Unauwezo nayo vpi Mfano unataka kuwa nurse unajua unatakiwa ufaulu somo lipi na lipi hasa Nitafute 0744527129 ka hutojar
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ongeza ufaulu wa somo la history kwenye shule/centre yako

    Kutaja point sahihi Kuielezea Mfano Umeacha kitu muhimu kuliko yote Ku link point na swali
  7. B

    JamiiForums Tanzania Asome vitabu gani vya kiswahili na literature kwa A-level ili afaulu?

    Vuta nikuvute Usiku utakapokwisha Kufikirika
  8. B

    JamiiForums Tanzania List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

    Hii list big no Yaani Ronadinho hayupo????
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu msitume nauli

    Mm week hii tu mjinga kala 4000 yng shenz sana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu msitume nauli

    Mm week hii tu kala 4000 yng pumbafuuuu zake
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuvi wa Kiingereza

    Hahaaaaa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wasifu sahihi wa Diana Edward Lukumay, Miss Tanzania 2016

    Mhmhhhh mbona matokeo yanaonesha ni division 4 na sio division 2???? Kuna utata hapa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Je unaweza kufa 2016 na kuzikwa 2015?

    Hatati sana ukishindwa Ku convise confuse them
  14. B

    JamiiForums Tanzania Je nikitemwa second round nawez kwenda kuomba direct chuoni

    Hapana wanaleta third application mkuu
Back
Top Bottom