Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
sijakuona mm eb nitumie nauli nije nikuoneKwan wewe hujaniona au ndio unataka kuntumia nauli
sijakuona mm eb nitumie nauli nije nikuoneKwan wewe hujaniona au ndio unataka kuntumia nauli
Teh tatizo ukipewa nauli unaunga bundle wewendio umuulize alikua anasema hakuoni
Kutuma sio ishu. Ishu ni kwamba hamjituma tuu
hahahhh kawa mlinda mlango Daby ww n chizi, Bonny mwambie wifi kunguru hafugikiHaha.... kageuka de gea..
Basi Shunie akiondoka nambie nikupashe
Ha ha ha ha nipo aisee ila si unajua shemej yako siku hzi anakabia golin
Ha ha ha ha acha tu jana akasema maji yameingia ndan mafuriko wakat anakaa milimanHaha.... kageuka de gea..
Basi Shunie akiondoka nambie nikupashe
Wanachama wangu wengi wameleta malalamiko nikaona nije na ushauri huu. Bora tu upige kazi za nyumbani kuliko ku-importwajinga hawaishi acha watumiwe nauli hakuna namna na huko Facebook kwenu wengi mnapigwa kwa style hizo
usinipe ubaya Daby mm naenda kweli kumuona atume tu nauliTeh tatizo ukipewa nauli unaunga bundle wewe
Ha ha ha ha unanjua lakin nmekumbuka mbaliiiiiisijakuona mm eb nitumie nauli nije nikuone
hahahhh akija unataka kumfanya nnKutuma sio ishu. Ishu ni kwamba hamji
Au ile michepuko yako kaijua mzee mwenzangu!Ha ha ha ha acha tu jana akasema maji yameingia ndan mafuriko wakat anakaa miliman
nan huyo kwake kumeingia mafurikoHa ha ha ha acha tu jana akasema maji yameingia ndan mafuriko wakat anakaa miliman
Tehteh... nitamshauri tu alipie ofisi za tashrif au raha leo hapo dureslam upewe ticket tuusinipe ubaya Daby mm naenda kweli kumuona atume tu nauli
Au ile michepuko yako kaijua mzee mwenzangu!