Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanaume wenzangu msitume nauli

Dah kumbe tuliopigwa tuko wengi. Mwaka jana december nililiwa hela ya ticket ya fast jet toka Arusha kuja Dar, mpaka leo hajafika Dar na simu yake haipatikani tena japo namfahamu vizuri mpaka anapofanyia kazi. Nimeuchuna japo naumia ndani kwa ndani
 
Ha ha ha ha hata nauli silipi namtuma boda boda wangu akamfate asilete uchiz
Mzee mwenzangu usiniaibishe na joto lote hili unambeba mtoto kwa box au kinglion mchukulie uber tax bhan.

Ona nimekupigia kampeni hapa Shunie
 
Dah kumbe tuliopigwa tuko wengi. Mwaka jana december nililiwa hela ya ticket ya fast jet toka Arusha kuja Dar, mpaka leo hajafika Dar na simu yake haipatikani tena japo namfahamu vizuri mpaka anapofanyia kazi. Nimeuchuna japo naumia ndani kwa ndani
Wajinga ndio waliwao. Mara ya mwisho kutuma pesa kwa maza ilikuwa lini??
 
Back
Top Bottom