Kwanza nianze kuelezea utofauti wa tofali la inch 5 na 6. Utofauti ni upana/width tu ila vipimo vingine vinalingana (length = 18' na height = 9'). Hivyo yanatofautiana kwenye unene tu.
Ubora wa matofali ya block yanaanzia kwenye aina ya mchanga, kiasi cha cement, uchanganyaji (Kiasi cha maji na...
Ninasikitika kwa walioshindwa kumuelewa Mnyika kwamba ajali isingetokea kama wangeapishiwa kwenye kituo kilichotajwa kabla. Maana kitendo cha kubadilishiwa route na kuwahi ili kukidhi matakwa ndo kimesababisha hayo yaliyotokea.
Mtoa mada unaendeshwa na mihemko, tulia na tafakari. Hivi kuna kosa la kupiga picha gari? No, na usitegemee such charge in the court of law. Think twice.
Hivi ukiwa upo nyumbani kwako umepaki gari yako uwani then mtu usiyemfahamu na usiyejua sababu unamkuta anapga picha nyumba yako na gari lako...
Siku zote wapinzani wanaamini lazma wapinge kila kitu, au kila maamuzi ya serikali. Pia wanaamini tunatakiwa kukopi na kufanya yale wazungu wanayofanya (kisiasa, kiuchumi, kijamii nk). Wanatakiwa kujua kuwa mambo hayo yanategemea sana mazingira na utamaduni wa eneo husika. Embu siku moja...
. Faiza, tumia akili yako vizuri. Hakuna raia duniani anayebishana na jambazi maana anajua kosa moja tu ni magoli. Huwa wanabishana na polisi kwa kuwa polisi hawana nia ya kuua bali ni kutetea raia. Hivyo hakuna namna kuwa hao watu hawakujua kuwa hao ni mapolisi. Tena wanajuana, ndo maana mmoja...
Nadhani huku jf wengi wanaongozwa na mihemko. Akilj mnaziweka pembeni. Hii ni mara ya kwanza kusikia angalau watu wanatetea askari. Ila kama askari wangempiga risasi na wakafa watu kadhaa na vurugu zikawa kubwa lawama zingewageukia tena. Mnasema haya kwa sababu ya support ya clip. Clip...
Kwanza muulize mzazi wako sababu ya kukuzaa. Yey ana sababu ya kukuzaa. Bila shaka ni ili awe na mridhi, kuiga kwa sababu wengne wanazaa, kutaka sifa kuwa na yey ana mtoto, kutafuta mtu wa kumsaidia mbeleni. Kama unaamini Mungu na unaamini uumbaji muulize Mungu sababu za kuzaliwa duniani. Lakini...
Hivi wew tukuweke kwenye kundi gani maana hata nikisema una elimu ya darasa la saba ntakuwa nmekupendelea. Hivi unaweza ku draw conclusion kwa picha moja tu kwamba hayo ndo maisha ya kundi fulani? Jifunze kuja na vitu concrete bro.
Naona kama utekelezaji wa hukumu hii ni ngumu, haitekelezeki na ni jaribu zito. Sisi tulioishi vijiji, haswa vijiji vya wafugaji ni ngumu na ikitekelezeka ni kuwafunga watu maelfu. Hii tu ya miaka 14 ilkuwa ngumu kutekelezeka, sembuse 18. Hakuna atakayesubiri umri huo ufike. Kijijini miaka 18...
NA BAHATI MBAYA MTU AKAFA HATA KWA MARADHI NI NGUMU WANANCHI KUAMINI. NI VYEMA VIONGOZI KUPMA KAULI ZAO. HII INAWEZA KULETA TAFSIRI MBAYA KWA JESHI LA POLICE NA SERIKALI HASWA LOLOTE.
Kwa mtizamo wangu nadhani kuna Kitu mnachanganya hapo. MELI imeachiwa kwa hukumu ya mahakama na kwa masharti MAGUMU isiende kwenye Nchi zilizowekewa vikwazo. Sasa kama IRAN ni mbabe aipeleke Syria kama alivyotaka awali. Hapa IRAN ndye alyepiga magoti kuomba apewe. Huo Ni udhaifu wa IRAN. Pia...
HII INADHIHIRISHA KUWA DUNIA LAZMA IWE NA MBABE ILI ITULIE. HISTORIA INAONYESHA DUNIA HAIJAWAHI KUKAA BILA SUPER POWER NATION. ZIMETAWAKA DUNIA: BABYLON, RUMI, UK NK. SASA NI ZAMU YA US, JAPO WATU HUMU HAWAKUBALI HILO. KAMA US ITAANGUKA LITAIBUKA TAIFA LINGINE NA LINAWEZA KUWA TISHIO ZAIDI.
"Ni agano takatifu ". Tupate tafsiri ya neno agano ili tujue kama takatifu inayozungumzwa hapa Ni takatifu ya Kimungu/Kiroho. Maana hapa Mtoa mada anazungumzia takatifu wa kiroho (hollyness) na kiranga anazungumzia utakatifu wa vitu (cleanness) japo ameamua kupindisha kwa maksudi.
Hujajibu hoja. Umekuwa ni mihemko zaidi Halafu unataka uitwe great thinker. Duuu!! Tuna kazi ya kuokoa ubongo wako, maana ukombozi wa akili ni ukombozi wa mwanadamu mzima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.