Zitto ameliongelea sana mkamwita kila aina ya majina.Sasa leö kiko wapi mnarudia tu aliyokwishasema mda mrefu.Hivi kwa nini nyie misukule sijui wafuasi wa vyama mnakuwa na kitu inaitwa Double standard?
Sitta anataka kucheza na akili za watanzania,kwani wanashindwa nini kubadilisha kanuni na hata sheria column ya wajumbe wa CCM mbona inatosha kufanya hayo hata kwenye bunge la kutunga sheria.Sasa kwa nini mpaka awabembele UKAWA?
Kwa sasa vydma vya upinzani mpinzani wao ni yule mwenye mawazo au anayetofautiana kifikra na viongozi wa juu,si CCM tena.Na hiyo misukule na wafuasi kushindwa kulitambua hilo.
Kila analoongelea Zito hata kama lina maslahi ya taifa,misukule iliyomo ndani ya Chadema haiwezi kumpa promo au big up wao wanasubiri Lema au Slaa auMbowe hata wakijamba wao watasifia.Elimu ya kukariri ni mbaya sana iko inaliangamiza taifa.
Haya kinukishe we tangaza dau tu watu hawana ajira.Utarecruit mpaka mwenyewe utasema basi.Siku hizi watu hawashabikii maneno we ukisema ajira tu utashangaa walikotokea lakini maneno matupu mtaishia kudanganyana tu.
Kama mumelielewa hilo lakutoondoka kwa sanduku la kura basi mmeanza kujitambua.Sasa bwana Yericko jaribu kuwaelimisha hao misukule wengine wa Chadema kuhusu hilo tumeishawaeleza saana lakini hawataki kukubali matokeo ya chaguzi zetu mshindi anajulikana kabla hata ya kupiga kura.kura huwa ni...
Tanzania tuna mtihani mgumu.Hawa vijana waliofakamia vyama vya siasa kwa kudhani ndio vitawaondoa kwenye huo ulalahoi bila kuhangaika watatusumbua saana na hizo fikra zao za kukaririshwa.Sasa hapo hizo comment za matusi kwa Kafulila na Zito ni kwa sababu tu hawako Chadema,jamani tusiwe na double...
Huo ndio uzalendo tukiweka kando uvyama,udini, ukabila,ubaguzi wa rangi.Hapo ndio tutaendelea,Huu uchadema unccr,uccm,ndio umetupotezea uzalendo.Tujaribu kwenye masuala yenye maslahi ya taifa tuwe wamoja.Tanzania kwanza vyama baadae.
Maana ya neno islam ni AMANI.Kwa hiyo hata uislam hauna mafundisho ya hayo wanayofanya Boko haram-Alshabaaab-na Ant balaka.Hayo ni magenge ya wahuni yanayotumiwa na nchi za magharibi kuchafua Uislam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.