Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Tatizo Lao hawa Kamanda Yericko wanacheza namipango ya Mungu na kucheza na mipango ya Mungu ni hatari sana kuweni nauzalendo kwenye nchi yenye Matunda na Asali kama hii hapa
Tanzania haya mambo ndo yanapatikana wahariri nao wanakubali kuhongwa badala sasa ndo wazitumie karamu zao vizuri kwenye hili kuwafunulia watanzania mbivu na mbichi
Mkuu, upo tayari kutetea suala hili??
Waeleze watanzania umefika Mtwara kwa gharama za nani na umelipwa posho shilingi ngapi kwa siku,
Kubwa zaidi wekastakabadhi ya malipo ya posho hiyo.
Labda nikufahamishe ewe mhariri wa kizazi hiki cha nyoka,
Kabla wewe hujasafirishwa kwenda Mtwara, vyombo vyetu vilihusika kuratibu uwepo wenu Mtwara na malipo ya milioni moja kwa siku, tena hayapiti kwenye akaunti bali ni bahasha mlangoni jioni baada ya kumaliza kikao.
Kwa taarifa yako tupo mlipo nyie waangamiza nchi.
Yaani wawe kama yule mwandishi aliyeletwa na Nyalandu?
Huu ni mkutano wa kitaaluma. tupo kwenye Retreat ya Editors Forum. Kila mwaka tuna mkutano wa aina hii. Mwaka jana tulikuwa Iringa. Kuwachafua wahariri kwa uongo wa aina hii ni upuuzi uliopindukia na ni kuwadhalilisha wana taaluma hawa ambao wana dhima kubwa kwa Taifa hili. Yericko anapaswa kuomba radhi, na kwa kweli uzi huu wa kipuuzi unapaswa kufutwa maana ni upotoshaji wa hali ya juu.
Wahariri zaidi ya 70 tupo hapa Mtwara. Nimesema aina hii ya mikutano ni ya kila mwaka. Tofauti na vyama vya kina Yericko, sisi mikutano yetu ni ya mzunguko kwa mkoa kila mwaka. Wahariri kama wana taalamu wengine, tuna umoja na vyanzo vyetu vya fedha. Pale tunapoomba ufadhili, tumefanya hivyo bila kifocho wala woga kwa sababu tu weledi na waadilifu kwa umma na kwa Taifa letu.
Huu ni mkutano wa kawaida kama ile inayofanywa na chama cha kina Yericko. Je, Chadema wakifanya mkutano wao wa mwaka, wahariri wawawaminishe uongo wananchi kuwa wafadhili wa mikutano hiyo ni kina David Cameron? Kwanini iwe hivyo kwa wanasiasa kina Yericko, na isiwe kwa wanahabari wa Jukwaa la Wahariri?
Wahariri ni wahariri bila kujali huyu ni wa hard news, yule ni wa sports, nk. Hapa tunajitathimini kimaadili, na ndiyo maana hatumkaribishi mwanasiasa au mwana taaluma (nje ya Habari), kuja kutufungulia mkutano wetu. Wahariri si watu hohe hahe ki-hali, kwa sababu hiyo, wapo waliogharimiwa na vyumba vyao vya habari, kampuni zao na wengine kwa uwezo wao wanajigharimia. Kama kunakuwapo 'bahasha', inakuwa ya kawaida, wakati mwingine haifiki hata elfu 50 kwa siku. Hiki si kiwango cha kusema sasa wahariri ------------!
Hapa tupo vyombo binafsi, vyoto vya Serikali, na hata vyombo vinavyomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama ambacho Yericko ameapa kukifia. Naomba sana wahariri watendewe haki. Hizi tuhuma ni nzito, na tayari wahariri wote waliopo hapa ukumbini, wamezipata; lakini wameafikiana jambo moja, nalo ni kwa TEF kutopoteza muda na heshima yake kujibizana na Yericko na wafuasi wake.
..tamati...
Zitto ameliongelea sana mkamwita kila aina ya majina.Sasa leö kiko wapi mnarudia tu aliyokwishasema mda mrefu.Hivi kwa nini nyie misukule sijui wafuasi wa vyama mnakuwa na kitu inaitwa Double standard?
Wahariri zaidi ya 70 tupo hapa Mtwara. Nimesema aina hii ya mikutano ni ya kila mwaka. Tofauti na vyama vya kina Yericko, sisi mikutano yetu ni ya mzunguko kwa mkoa kila mwaka. Wahariri kama wana taalamu wengine, tuna umoja na vyanzo vyetu vya fedha. Pale tunapoomba ufadhili, tumefanya hivyo bila kifocho wala woga kwa sababu tu weledi na waadilifu kwa umma na kwa Taifa letu.
Huu ni mkutano wa kawaida kama ile inayofanywa na chama cha kina Yericko. Je, Chadema wakifanya mkutano wao wa mwaka, wahariri wawawaminishe uongo wananchi kuwa wafadhili wa mikutano hiyo ni kina David Cameron? Kwanini iwe hivyo kwa wanasiasa kina Yericko, na isiwe kwa wanahabari wa Jukwaa la Wahariri?
Wahariri ni wahariri bila kujali huyu ni wa hard news, yule ni wa sports, nk. Hapa tunajitathimini kimaadili, na ndiyo maana hatumkaribishi mwanasiasa au mwana taaluma (nje ya Habari), kuja kutufungulia mkutano wetu. Wahariri si watu hohe hahe ki-hali, kwa sababu hiyo, wapo waliogharimiwa na vyumba vyao vya habari, kampuni zao na wengine kwa uwezo wao wanajigharimia. Kama kunakuwapo 'bahasha', inakuwa ya kawaida, wakati mwingine haifiki hata elfu 50 kwa siku. Hiki si kiwango cha kusema sasa wahariri ------------!
Hapa tupo vyombo binafsi, vyoto vya Serikali, na hata vyombo vinavyomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama ambacho Yericko ameapa kukifia. Naomba sana wahariri watendewe haki. Hizi tuhuma ni nzito, na tayari wahariri wote waliopo hapa ukumbini, wamezipata; lakini wameafikiana jambo moja, nalo ni kwa TEF kutopoteza muda na heshima yake kujibizana na Yericko na wafuasi wake.
..tamati...
... Wahariri ni makanjanja tu, wape bahasha watakuunga mkono. Wanatumiwa na wanasiasa na mafisadi hao. Balile na Manyerere wanatumiwa na Lowasa, Wallace Maugo wa The Guardian, kibaraka wa Mengi n.k.Inasikitisha pale ambapo unaona mhariri anaelezea jambo tena ambalo anajitetea yeye mwenyewe halafu anaacha maswali mengi na kuongoza doubt katika hilo jambo. Apa kuna mambo mawili either incompetence ya mhariri au kubadili ukweli kuwa uongo ni kazi. Nilikuwa 50-50, na sasa upande wa yericko umeongeza shilingi na sasa katika habari hii nimesogea mpaka 70perc kuiamin hii habari baada ya kupata majibu kutoka kwa mhariri
Manyerere wewe ndo msemaji wa wote nini? Je unahakika kama wengine hawajapokea pesa ya wizara ya Nishati na Madini? Kabla ya kumtaka Yeriko aombe radhi ni vema ukamtaka afunguke zaidi maana hata heading za gazeti unaloandikia siku hizi ni refkection za alichoandika jamaa usiwahi tu kutaka kuombwa radhi mkuuHuu ni mkutano wa kitaaluma. tupo kwenye Retreat ya Editors Forum. Kila mwaka tuna mkutano wa aina hii. Mwaka jana tulikuwa Iringa. Kuwachafua wahariri kwa uongo wa ainal hii ni upuuzi uliopindukia na ni kuwadhalilisha wana taaluma hawa ambao wana dhima kubwa kwa Taifa hili. Yericko anapaswa kuomba radhi, na kwa kweli uzi huu wa kipuuzi unapaswa kufutwa maana ni upotoshajian wa hali ya juu.
Yericko unawafichua. Lakini binafsi, hata kama Yericko anasema uongo kwani hatuyaoni, nani anaweza akamuuita mwandishi wa habari asimwombe pesa. Nani alisiyejua leo hii kila Taarifa mara nyingi lazima ikitoka posho nyuma yake? ndipo iandikwe. Waandishi wa habari tunaishi na nyie tunajua maisha yenu moja mpaka Mia. Ni wachache sana waandishi wa habari wenye maadili. Na hawa ndio wanaiuza nchi yetu na rasilimali zetu kwa kushindwa kufichua uovu.
Umenena mkuu kuna kijana mmoja ambaye tumemlea kiroho baada ya sekondari kaenda kwenye hhii fani. J2 kanipigia simu anakuja kuchukua matukio church nikamwambia karibu sana you cant imagine baada tu ya sunday service akanitafuta sana nikadhani anataka kuniaga tu akaniambia nimtafutie nauli na kwa mwandishi toka radio si chini ya 20,000 ikabidi kumtafutia