Kasema ana mtoto, kwa hiyo alikuwa kwa baba mwenye huyo mtoto. NUKTA.
inshaallah kwa uwezo wa allah ajalie umpate yule wa hitaji lako tena nakuombea asiwe muislam jina
Mimi ni muislamu na mwajiriwa wa serikali
nina miaka 37 na mtoto mmoja wa kiume
ninahitajimume mwislamu kuanzia miaka
38-50, ninaishi dares salaam
kwa aliyeayari tuwasiliane kwa namba
0719 470666 au 0788 598855
mm dada nina miaka 22 nipo radhi kama utanikubalia
Ongea vizuri na huyu https://www.jamiiforums.com/love-connect/679107-nahitaji-mchumba-binti.htmlMimi ni muislamu na mwajiriwa wa serikali,
Nina miaka 37 na mtoto mmoja wa kiume,
Ninahitaji mume mwislamu kuanzia miaka 38-50,
Ninaishi Dares salaam,
kwa aliyetayari tuwasiliane kwa namba 0719 470666 au 0788 598855
Tehee tehrree .. Waleo nimeukimbia aisee imekuwa too much...
Mwezi wa ramadan..kwa ajili ya kujipikia uji..... tafuta muda zaidi hata baada ya Ramadan....