Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
- Thread starter
- #21
kule Lbya GADFI ALIONDOLEWA NA CHAMA CHA SIASA?
Hilo kwao hawalitambui. Tuvute subira waone 2015
kule Lbya GADFI ALIONDOLEWA NA CHAMA CHA SIASA?
Hilo kwao hawalitambui. Tuvute subira waone 2015
kule Lbya GADFI ALIONDOLEWA NA CHAMA CHA SIASA?
Muulize Membe
Kwani ukawa ni chama cha siasa?
Hapana,ni bendi ya muziki.
Wewe unulizia virungu polisi??
Kwani ukawa ni chama cha siasa?
Wapo wananchi ambao hawakuwa wazalendo kwa utawala wa Wakoloni na waka waondoa Wakoloni wakiwa na NyerereHapana aliondolewa na vibaraka wa Marekani, pamoja na wananchi wa LIBYA ambao hawakuwa wazelendo na nchi yao.
Waziri mkuu mzima pinda leo hana uhakika na uchaguzi kama utakuwepo au laa maana inategemea kama ukawa watarudi bungeniSiasa za Afrika ni mikingamo hasi, vivyo hivyo siasa za Tanzania ni silika ya mikingamo hiyo,
Huwa ni kawaida ya vyama vinapokaribia kudondoka kuifanyia madhila na anasa siasa. Wataua hata watu wanaowatawala, Hawawezi kutoka kirahisi kama watu wanavyofikiri,
Ccm haitatoka kwa sanduku la kura pekee, Utawala africa ni utajiri sio utumishi ndio maana wanatoa roho watu,
Ndio tujiandae ccm na serikali yake watachinja kabla ya kutoka, jambo mhimu ni kusubiri kiwango cha maafa ambayo katu hayaepukiki hata kwa tone la mchanga.
Lakini anguko la ccm li juu yao, maana alama za nyakati huwa hazipingani na binadamu wa nyama na damu.
Ukawa ni njia halisi ya Mtanzania kuikomboa nchi yake.
Nishauri tu kwa wakuu wa UKAWA, Ili tuitoe ccm 2015, technical team ya vyama vinavyounda ukawa, viwekwe pamoja vijifungie ndani na vipewe hadidu za rejea kuandaa mkakati wa mda mfupi kuelekea ukombozi 2015. Ni kazi ya mwezi mmoja tu!
Unauliza swali ama jibu?
Nchi haina serikali bali ina madalali na vishokaWaziri mkuu mzima pinda leo hana uhakika na uchaguzi kama utakuwepo au laa maana inategemea kama ukawa watarudi bungeni
Nchi haina serikali bali ina madalali na vishoka
Vp mgawanyo wa Milioni 600 hapo Lumumba ulikuwaje?Tunaomba documents za ugavi wa pikipiki 250 ziwekwe wazi.
Yaani kuhemea kwako Buku saba siku nzima unajiona una uelewa mkubwa?We unaona ni jibu?
Ndo maana tunasemaga pro chadema mnauelewa mdogo sana
Hii kweli kabisa na ili hili lifanye kazi ni lazima wizi wa Escrow Shs200bols nao uwekwe wazi na si kupiga porojo!!Tunaomba documents za ugavi wa pikipiki 250 ziwekwe wazi.
Vp mgawanyo wa Milioni 600 hapo Lumumba ulikuwaje?