Hongera Hamphrey Mpolepole, umetufumbua macho vijana

Hongera Hamphrey Mpolepole, umetufumbua macho vijana

Nakumbuka huyu jamaa alipata division IV au 0 form four pale Azania - siasa bana!
Sasa nimepata kujua kwa nini anang'ang'ania na kulazimisha mambo, hapo mwanzo nilifahamu kwa vile yeye ni mkereketwa wa UKAWA tu kumbe hata kichwani pia hamna?
 
Nakumbuka huyu jamaa alipata division IV au 0 form four pale Azania - siasa bana!
wacha zako za kuleta dogo! Wewe uliepata d.1 una msaada gani ktk jamii hii ambayo ina kiu ya kujikwamua? acha kuona gere na aibu jiunge na kijana mwenzio ili muongoze harakati kuileta nchi kwenye Wepesi!
 
kwa jina la yesu navunja vunja nguvu zote za magamba zinazoweza kumdhuru na kuzitupa kuzimu puuuuu

huyo polepole sijui kasoma wapi yaani ni kijana anae nivutia kwa kila kitu mwenye namba yake ya simu anipe, nampenda sana yaani huwa ananikosha sana
 
Hapo huoni kuwa kipofu anawaongoza vipofu? anawapeleka wapi wakati uwezo wake mdogo?

sio kila wenye macho basi uwezo wao ni mkubwa. Kuna wenye macho lakini ni mataahira hata moja jumlisha moja hawajui kama ulivyo wewe.
 
Kijana ana uwezo mkubwa sana. Anajua kuchambua mambo!
 
Hapo huoni kuwa kipofu anawaongoza vipofu? anawapeleka wapi wakati uwezo wake mdogo?

hili jamaa bado toto kweli bado linaamin mtu aliyepata div one ndo ana akili mpaka leo!?
 
Hapo huoni kuwa kipofu anawaongoza vipofu? anawapeleka wapi wakati uwezo wake mdogo?

hili jamaa bado toto kweli bado linaamin mtu aliyepata div one ndo ana akili mpaka leo!? baba ako alisoma elimu ya ngumbalu chini ya mti kwa hiyo kichwan hamna kitu?
 
sio kila wenye macho basi uwezo wao ni mkubwa. Kuna wenye macho lakini ni mataahira hata moja jumlisha moja hawajui kama ulivyo wewe.
We PIMBI hiki ni kiswahili na ile ni methali iliposemwa kipofu haina maana upofu wa macho hata kama akili yako haioni pia ni kipofu kama ulivyo wewe hapo.

Hayo hayo angeyasema Zito mngekuja na matusi wala msingesifia kama mnavyo comment hapa.
 
Heko zake Humphrey; nimefuatilia sana interviews zake sehemu mbali mbali nimemkubali; sasa wadau tumuombe Humphrey akatusaidie kulielewesha baraza la maaskofu na hasa Askofu Niwemugizi sababu za wana ukawa kutoka bungeni ili waache kufoka foka na kutoa amri zisizo na mashiko kuwalazimisha Ukawa kurudi bungeni; kisa tu wao wajipendekeze kwa watawala!!
Kwa kweli nimefurahishwa na uwezo wake wa kujieleza pamoja na kujenga hoja,nilikuwa naangalia kipindi cha Joyce Kiria ambacho Hamphrey alikuwa mgeni.

Kimsingi ametufumbua macho alipokuwa anaelezea umuhimu wa uwepo wa mfumo wa serikali tatu ktk dunia ya sasa,tulikuwa vijana watatu tuliokuwa tukifuatilia mjadala huo wenzangu wawili ni waumini wa serikali mbili,lakini baada ya mjadala kwisha niliwasikia wakinong'onezana kwamba bwana Hamphrey amefanikiwa kuwashawishi kwamba serikali tatu ndio mfumo mnzuri.

Nilifurahi kwasababu ya kuongeza washirika wa serikali tatu.Najua wako wengi waliopandikizwa hisia hasi juu ya mfumo wa serikali tatu lakini mijadala kama hii ya hamphrey polepole hakika itawafumbua macho wengi katika kuhakikisha Tanganyika yetu iliyopata uhuru mwaka 1961 inarejeshwa mikononi mwetu ikiwa salama salmini.

Kwa kweli wakipatikana vijana wenye kujielewa kama bwana Hamphrey angalau mia na vijana tukaamua kuwafanyia fund raising kwa ajiri ya kuzunguka nchi nzima hata wazee ving'ang'anizi wangebadilika.
 
Huyu jamaa ni kichwa sana.anachambua vibaya sana.
 
huyo polepole sijui kasoma wapi yaani ni kijana anae nivutia kwa kila kitu mwenye namba yake ya simu anipe, nampenda sana yaani huwa ananikosha sana

Siyo siri dogo yupo vizuri sana.
 
Sasa nimepata kujua kwa nini anang'ang'ania na kulazimisha mambo, hapo mwanzo nilifahamu kwa vile yeye ni mkereketwa wa UKAWA tu kumbe hata kichwani pia hamna?

Nyie mnaohoji uelewa wa huyu dogo mnalenu.
 
Back
Top Bottom