Recent content by bariadi2015

  1. B

    Ipi kauli ya Lowassa kuhusu waliowekewa mabilioni huko Uswisi - inawezekana naye mmoja wao?

    namshangaa lowasa anaongelea kupinga kauli mbiu ya kilimo kwanza wakati hata yeye ni mshiriki wa kuutangaza huu upuuzi wa kauli mbiyu hiyo.badala aongelee pesa zinazoibiwa kila kukicha na maisha ya watu yanavyozid kuwa magumu. halafu sikumbuki kama kunasiku lowasa alishawahi kuongelea wezi wa...
  2. B

    Angalizo kwa wana-chadema: Kamwe tusibweteke

    ni kweli mabadiliko ndani ya chama ni muhimu,lakini tunabadili nini na kwamaufaa gani????sio kila mabadiliko yanamafanikio, na ukiona watu wanapiga kelele ujue wameona,for the issue of zitto kabwe,sisuport chochote kuhusu huyu jamaa maana tayari tunajua katumika kiasi gani na mafisadi na mpaka...
  3. B

    CCM na CUF wanaungana kuikabili M4C

    hakuna mtu anaweza badilisha mda wa kuanguka ukifika,hata waungane wataanguka tu.
  4. B

    Why ni ngumu sana kupata mtu unayempenda naye anakupenda same way?

    Sikuhizi watu wanatafuta watu wa kufanya nao maisha na sio kigezo cha upendo. Na wengine wanatafuta sababu ya tamaa zo,eti oh mnenene,mweupe,mwembamba,mrefu etc.nani amekwambia mke ni sura wewe kijana?????tunamtania mungu.
  5. B

    Sijui niolewe na yupi kati ya hawa...

    yule uliyekuwa naye jana akuoe huyohuyo,kama wote ulikuwa nao hapo chacha.
  6. B

    Treni ya Mwakyembe bado sana, SUMATRA waikwamisha

    Sumatra wanafikisha ujumbe tu,kuwa mwakyembe hakumanisha alichokiahid.
  7. B

    Fukuzafukuza CHADEMA: Josephine kama Mama Ruksa enzi hizo

    kwanini hujui ni kwanini walifukuzwa? Mfundishe dhaifu mwenzio kwani kahaikisha familia yake wanapita bila kupingwa, ukipinga tu, huna ulaji tena
  8. B

    Bundi wazua tafrani mkutano wa CCM Kahama! Watua meza ya Lembeli, Mgeja... Wagoma kutoka ukumbini!

    nexy time atakuwa fisi,hawa wajamaa bana,wanga wachawi,wezi,yaani kila baya lao.
  9. B

    Kuanguka kwa Sumaye na kupeta kwa mafisadi nini tafsiri yako?

    sunay nae kwani hakujua kuwa mtandao ulishamtema kitambo!shauri yake.
  10. B

    free mind!

    asante.
  11. B

    free mind!

    usishindwe bana,utajitengenezea kingine kigumu zaidi,
  12. B

    free mind!

    Kwanza lazima ukikubali kwamba kimetokea kwenye maisha yako,then kichukilie kama tatizo la kawaida na linaweza kumtokea mtu yeyote,and jiamini kwamba bado unanafasi ya kufanya viziri katika maisha yako. Ukiwa na mtazamo huu,hatachukua mda kukisahau.
  13. B

    Ugonjwa Huu ni kitu gani??????

    hiyo inaitwa bunyoro.nenda hispital faster halafu ukipona cheza salama usivamie,utaumia zaidi. pole sana
  14. B

    Picha: Mkesha wa Mwenge wa uhuru kijiji cha Nkinga Igunga

    ndiyo elimu bora kukesha na mwenge,ndiyo erikali ya magamba hiyo.
  15. B

    Picha: Mkesha wa Mwenge wa uhuru kijiji cha Nkinga Igunga

    mbona mashati meupe???hao darasa la ngapi???
Back
Top Bottom