free mind!

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
ukitaka kutoa kitu kichwani kwako kabisa kabisa unafanyeje
nimefikiria au nidrink?
 
vp mkuu...umetendwa au? Usimdelete bana msikilizie kidogo lazima arudi tu....
 
unaenda bafuni unapiga keleleleeeeeeeeeeeeeeeeeee af unaoga kuanzia kichwani!ukitoka hapo poa
 
sikiliza music.. tafuta zile slow jamz!!
Kama vipi jukwaa la photo hapa JF linahusika...
 
Kwanza lazima ukikubali kwamba kimetokea kwenye maisha yako,then kichukilie kama tatizo la kawaida na linaweza kumtokea mtu yeyote,and jiamini kwamba bado unanafasi ya kufanya viziri katika maisha yako.
Ukiwa na mtazamo huu,hatachukua mda kukisahau.
 
Fanya activities yoyote unayoipenda mfano music, games, movies, going out in a quite place.

Mimi huwa, ninajifungia room, nazima simu then naweka headphone, nafungulia mziki ninaoupenda (mfano Rock and Metal), huku nikicheza kwa furaha, kama kuna ufagio nitaufanya guitar, huku nashake kichwa, sometime nina pretend ndio drummer au lead singer kwenye show fulani, lol...i love Music. {sounds crazy}
it works.
#ROCK AND ROLL

Sometime ninafanya MEDITATION, kama wewe ni mpole, and hupendi fujo faja MEDITATION, ni nzuri kuliko kunywa pombe.
 
Back
Top Bottom