Recent content by Barca

  1. Barca

    Naomba Ushauri na Msaada Kuhusu OCD Inayonitesa Kila Siku

    Obsessive-Compulsive Disorder (OCD) is a chronic, long-term mental health condition characterized by a distressing cycle of obsessions and compulsions. Nenda hospital muone psychiatrists Kwaajili ya ushauri na pengine uanze dawa. Cha kukupongeza ni kkuwa angalau umejjua shida na ukoo positive...
  2. Barca

    KERO Mpimbwe: Watumishi tulioajiriwa JUNI 2022 hatujapandishwa madaraja wala kulipwa Malimbikizo ya Mishahara

    Nyie wa ajira mpya ya mwaka huo bado hamjafiikia umri wa kupandishwa madaraja. Na hakuna malimbikizo ya mshahara hapa. Labda kama hukupata mishahara ya mwanzo wakati umepata ajira. Kupandishwa kwenu ni kuanzia mwaka ujao yaani Julai hii au kikao cha Safari hii. Acheni kulalamika fanyeni kazi
  3. Barca

    Tusema wewe ndiye Rais Samia, ungejibuje swali hili?

    Tanzania 🇹🇿 ni nchi huru, na Tanzania ni nchi isiyo fungamana na upande wowote. Kwa hiyo hatuwezi pangiwa rafiki wa kushirikiana naye. So far Russia ni nchi kubwa pamoja na changamoto zake Bado sisi tupo huru kushirikiana. Lakini uhusiano wetu na Russia 🇷🇺 haujaanza leo. Umeanza tangu tulipo...
  4. Barca

    RESOLVED DOKEZO Daktari amempiga hadi kuzirai Muuguzi mwenzetu, hakuna hatua zilizochukuliwa. Waziri wa Afya, TAMISEMI tunaomba msaada

    Kuacha kazi hamuwezi that's one. Lakini Na nyie wauguzi acheni u much know. Shida yenu mnataka ukubwa kila mahali. Nyie mtabaki kuwa wasaidizi daima katika carrier yenu. Acheni Kabisa hiyo. Hakuna sehemu utaenda palipo na wauguzi ukakuta pako shwari, Kila mahali migogoro yenu haiishi si vyuoni...
  5. Barca

    Kufariki kwa huyu Mtumishi Mwenzangu ambaye nilifanya naye kazi huku tukiwa na Ugomvi mpaka alinifanya kuhama

    Yaani wewe muuguzi afu huamini kama kuna ug Yaani wewe muuguzi afu huamini Kwenye tiba uliyo somea. Hii nayo yawezekana ni chanzo cha ugomvi wenu pia. Aise dah
  6. Barca

    Ina maana TEC walikosa hata katekista kuwawakilisha kwenye report ya jaji Chande.

    Hata TEC nao wanaweza kukaa kimya na maisha yakaenda. Shida ya TEC ni kuamini kwamba wao ndo wanastahili zaidi kuliko yeyote. Hawaamini kama Rais ni Samia. Hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais. Wanafikiri tunaongoza nyumba ya mapadre. Utafikiri huwa wwaanashiriki mchakato ya uchaguzi. Hii...
  7. Barca

    Bei ya Mahindi Tanzania Kuporomoka Baada ya Afrika Kusini Kuweka rekodi ya Kuzalisha zaidi ya Tani milioni 16 msimu wa 2025/26

    Hata Tanzania kwenyewe tumepata sana mwaka huu. Tutahifadhi tuuze msimu ujao
  8. Barca

    Uongozi wa Shule ya Pugu mmefeli sana kumuweka Mpoki kuwa mgeni rasmi wa mahafali yenu

    Special guest siyo mgeni rasmi. Bali ni mgeni maalum. Ambaye kwa umaarufu wake yawezekana ni kwenda kuchekesha.
  9. Barca

    Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

    Kama una uwezo nenda kapandikize kwa huyo mkeo upate wa kiume hata mapacha. Badala ya kuleta mgogoro kwenye famillia. Kuzaa nje hasa kwa ndoa za kikristo na kama una uchumi wa kuunga unga inakuwa changamoto sana Hasa kwenye mgawanyo wa mali. Kama una uchumi mzuri basi kila mwanamke mfanye...
  10. Barca

    Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

    Mbaya zaidi kama kakusimbua sana. Hadi akikupa mbo.o hasimami 😂 😂. Unaweza jihisi huna nguvu za kiume kumbe ni stress tu. Afu ukitafakari alivyo kusumbua hadi hamu inaisha
  11. Barca

    Je! Umeua, ukatamalaki? Bwana asema hivi, Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya Nabothi, mbwa watairamba na damu yako!

    Fr Kitima angekuwa ameoa nyumba ingekuwa ya mipasho tu. Wangekuwa wanajibizana kwa vifungu vya Biblia. Nongwa haziishi. Fr kitima hawezi kuwa mshauri mzuri wa maswala ya utu.
  12. Barca

    Ni kweli Iran imeonewa lakini kushambulia nchi ambazo hazipo katika vita nae ni kuongeza maadui

    Hajashambulia majirani. Bali kashalbu Hajashambulia majirani. Yeye kashambulia base Za ulinzi za Marekani. Wao kuruhusu Marakeni aweke base Kwenye Nchi zao ili kumshughulikia Iran huo nao ni uchokozi na uchochezi. So kwangu mimi wamestahili
  13. Barca

    Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Weka UTT AMIS mfuko wa Liquid fund kama kweli unayo hiyo million 500, ambapo utapata faida ya 1% kila mwezi sawa na million 5 kila mwezi na kwa mwaka utapata million 60. Hapa utakuwa huna haja ya kufanya kazi utakuwa naamka asubuhi ufanye mazoezi tu. Lakini hii million 5 unaweza kufanya vitu...
  14. Barca

    Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

    Katika maisha yangu yote nimekuwa naona maaskofu wanaoheshimika. Ila nimekuja kugundua kumbe hata maaskofu huwa wapo wa hovyo. Mtu mzima kuendeleza ligi ni ukubwa ujinga. Kuna ligi nyingine wakati mwingine ni vema ukaacha kwasababu hazikusaidii. Askofu mzima kujibizana na wavaa vijora Ni...
Back
Top Bottom