Recent content by BARCA ON

  1. B

    Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

    Njoo PM tuyajenge
  2. B

    Nani mwenye cheo kikubwa Kati ya Meya na Mkurugezi wa Halmashauri?

    Umeuliza swali uli ujibiwe, Ukiangalia Muundo wa Halmshauri Chombo Cha juu cha kufanya maamuzi ni baraza la Madiwani na mwenyekiti wake ni Mayor/Mwenyekiti wa Halmashauri na DED ni katibu wao. Hivyo basi kiutawala Mayor/Mwenyekiti ni Mkubwa kwa kuwa huliongoza baraza kusimamia utendaji kazi wa...
  3. B

    USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

    Bima inafanya kazi kama ikifukuzwa au kufariki. Ila ukiacha kazi unatafutwa kokote ulipo ili ulipe deni lako.
  4. B

    Socialogy vs Public Relations

    Kozi zote mbili zinamshahara unaofanana wakati wa kuingilia kazini, ila taasisi nyingi zina uhaba wa maafisa habari/ Uhusiano wa umma. Suala la fursa linategemea na taasisi unayofanyia kazi
  5. B

    Socialogy vs Public Relations

    Kabla ya kukujibu ningependa kujua Wewe una ndoto/ unataka uwe nani ofisini(cheo)?
  6. B

    Nahitaji Mume

    Umesahau kuandika umri wako na wapi au mkoa gani unapatikana.
  7. B

    Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

    Ndugu yangu bila shaka wewe ni mwalimu. Mtendaji kata hawezi amka usingizini akanza kuchangisha fedha bila vikao kuridhia mchango na matumizi yake. Pili kama unaona haki hazifuatwi katika kudai michango kuna mamlka za kupeleka malalamiko yako. Mwisho punguza kuandika kwa kuegemea upande mmoja...
  8. B

    Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

    We ndio wife matetial, sijui umechelewa wapi kuolewa
  9. B

    Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

    Njoo pm
  10. B

    Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

    Mkuu kigezo cha miaka 15 kinaangaliwa Tangu aanze kufanya kazi ya Uhakimu, hivyo kwa kuwa alikuwa Jaji wa Mahakama kuu anakuwa anayo sifa ya moja kwa moja ya kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaani na kiapo chake sio bati. Kasome vizuri katiba na uieleww
  11. B

    Ni wakati muafaka sasa Mifugo itozwe kodi. Msukuma au Mmasai anamiliki zaidi ya ng’ombe 1,000 na hachangii chochote! It is not fair

    Mifugo hulipiwa kaondi katika ngazi ya Halmaahauri, kuna kodi kibali cha kusafirisha, kuna ushuru wa machinjio, pia mifugo wanapokuwa kwenye minada hulipiwa ushuru. Wafanyabiaahara wa mazao ya mifugo pia hulipa kodi. Kikubwa kinachohitajika ni kutoa elimu kwa wafugaji kufuga kisasa na kwa tija...
  12. B

    Ndoa za Kanisa Katoliki

    Wewe ulikuwa unasinzia kanisani. Kiapo cha kanisa katoliki hakijabadilika. Nenda kasome tena Miongozo ya kanisa
  13. B

    Top 10 nchi zenye watu wenye IQ kubwa, Marekani haimo

    Sijawaona Israel nawasiwasi na chanzo cha taarifa
Back
Top Bottom