Top 10 nchi zenye watu wenye IQ kubwa, Marekani haimo

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Nimestaajabu kwamba USA haimo miongoni mwa nchi zenye watu wenye IQ kubwa. Kumbe IQ haina uhusiano na utajiri!?

Screenshot_20200707-200921_Chrome.jpg
 
mkuu marekani ni lazima isiwemo kwasababu ile nchi haiundwi na Race moja kama zilivyo nchi nyingine.

pale ni senta ya dunia, kila race iko pale, na vilaza kibao wa BLM nao wako hapo.

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
kumbe vilaza wapo kama wote pia...mmoja yumo humu anapenda kusema 'USA Beibe'
 
Hata India haipo!? ...

Pamoja na kuwa Wako na watu zaidi ya mmoja waliothibitika na IQ kubwa kuliko Einstein!
 
Back
Top Bottom