Socialogy vs Public Relations

FundiNgoma

Senior Member
Dec 26, 2019
131
264
Wakuu napata utata kati ya kozi hizi mbili ngazi ya shahada naomba ufafanuzi...

1. Ni ipi ni rahisi kufanyiwa recategolization kwa in service?

2. Ni ipi kazi zake zina mshahara mkubwa ukilinganisha na nyingine?

Msaada wenu
 
Kabla ya kukujibu ningependa kujua Wewe una ndoto/ unataka uwe nani ofisini(cheo)?
 
Asante mkuu lengo kubwa ni kuhama kada ya elimu ninayofanya kazi kwa sasa na kuwa na kitengo nje ya sekta ya elimu kinacholipa zaidi mfano afisa utumishi au afisa maendeleo ya jamii
 
Kozi zote mbili zinamshahara unaofanana wakati wa kuingilia kazini, ila taasisi nyingi zina uhaba wa maafisa habari/ Uhusiano wa umma.

Suala la fursa linategemea na taasisi unayofanyia kazi
 
Iko hivi...
Kama lengo ni kufanyiwa Recategorization...

1. Zote Zinaanza na mshahara wa TGS D (710,000/=)

2. Zotee utaanza na Officer II

3. Kama Halmashauri haina watumishi bomani ina maana utakuwa bomani na ukiwa bomani zoteee hazina hela (posho, extra duty) hata kama zipo ni kidogo sanaa.

USHAURI.
Kwa kuwa umesema wewe ni mwalimu then upo Halmashauri.

Kwasasa serikali wameunda Idara mpya na Vitengo Vipya ndani ya Halmashauri, mfano; Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Kitengo cha Mawasiliano, Kitengo cha Fedha. Pia Kuna nyengine (Tafuta pdf usome).

Hivyo kujitenga kwa vitengo na Idara itasababisha tu uhaba wa watumishi kwenye Idara.
Mfano:- Afisa Biashara muda mwengine alifanya Kazi za uhasibu ila Sasa anatoka Fedha.

Mi nakushauri kasome mambo ya biashara au uhasibu au Ugavi 💷💷💷💷💶💷💶💷💶.

to yeye mwalimu anataka kukimbia.

BARCA ON

#YNWA
 
Kukimbia nitarudi,nataka kuacha
 
Mi nakushauri kasome mambo ya biashara au uhasibu au Ugavi .

to yeye mwalimu anataka kukimbia.

BARCA ON

#YNWA

Asante mkuu kwa ushauri

Ila niulize hiyo pdf naipata wapi ili nijifunze zaidi
 
[mention]to yeye [/mention] hata me kuna kipindi nilitaka kuacha ila nikaona njia nzuri ni kuongeza elimu ili nihame hii sekta maana kwanza haikuwa ndoto yangu pili siipendi niliusomea basi tu ni influence ya familia na umaskini ulionizunguka ....
Wazo jema sana
 
Fanya hivyo ...

Mi kwasababu ya uyatima nilipelekwa course ya Diploma ambayo hata sikuipenda (mlezi/ndugu hakua na kipato, hivyo nilikubali kishingo upande).

Ila ile course ilinifanya nipate ajira serikalini (ilikuwa Diploma level).

Kufika serikalini mwaka mmoja tu nikaunga chuo...!!!!
Yaani ile kupata tu barua ya kuthibitishwa Nikasepa chuo.

Chuo nikasoma Bachelor ya ndoto zangu + masters.

Kurudi kazini nimeona badooo.
Nimetumia Bachelor + masters mwaka mmoja na mwaka huu naingia PhD.

The point is; USIKUBALI NDOTO ZAKO ZIFE, PAMBANIA NDOTO ZAKO.

Ila mwana wakati tunatafuta haya makaratasi tusisahau kutafuta hela.

SIDE HUSTLE muhimu sanaaa.

Uyatima unatufanya wengi tusifikie ndoto zetu,history yako ni the same na mimi ...

Japo mimi ndo kwanza naanza bacherol miaka 6 kazini (najiona nimechelewa sana)

Muhimu tutafute hela makaratasi ni Connection tu....
 
Iko hivi...
Kama lengo ni kufanyiwa Recategorization...

1. Zote Zinaanza na mshahara wa TGS D (710,000/=)

2. Zotee utaanza na Officer II

3. Kama Halmashauri haina watumishi bomani ina maana utakuwa bomani na ukiwa bomani zoteee hazina hela (posho, extra duty) hata kama zipo ni kidogo sanaa.

USHAURI.
Kwa kuwa umesema wewe ni mwalimu then upo Halmashauri.

Kwasasa serikali wameunda Idara mpya na Vitengo Vipya ndani ya Halmashauri, mfano; Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Kitengo cha Mawasiliano, Kitengo cha Fedha. Pia Kuna nyengine (Tafuta pdf usome).

Hivyo kujitenga kwa vitengo na Idara itasababisha tu uhaba wa watumishi kwenye Idara.
Mfano:- Afisa Biashara muda mwengine alifanya Kazi za uhasibu ila Sasa anatoka Fedha.

Mi nakushauri kasome mambo ya biashara au uhasibu au Ugavi .

to yeye mwalimu anataka kukimbia.

BARCA ON

#YNWA
Nimeku PM naomba tuwasiliane ndugu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom