Recent content by banyimwa

  1. B

    Anguko la Mahanga kwenye NEC ni ushahidi tosha

    Alikuwa na matumaini makubwa ya kuwa waziri toka enzi za Mkapa lakini hakupata na ninafikiri sasa anajuta kuacha kazi yenye mafao ya uhakika kwa tamaa ya cheo cha kisiasa. Yeye na Serukamba huwakosi kwa mshua, utadhani ni house boys.
  2. B

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Hivi ukishinda baada ya kuhonga sana unajisifu kwamba una sifa wakati ni ushawishi wa fedha ndiyo umekufikisha hapo? Ni kama kununua mtihani ukachana pepa halafu ukajisifu. Aibu ya hali ya juu.
  3. B

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Hivi baada ya aibu hii waliyoikoga, jamaa hawa wanaelekea wapi sasa?
  4. B

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Leo katika pita pita yangu maeneo ya Dodoma Hotel, St. Gaspar na maeneo ya Club 84 hali ya unyonge imetawala katika kambi ya mafisadi. Nilimsikia mjumbe mmoja wa Nec toka mkoa mpya wa Simiyu akisema kwamba walikosea kumuacha Mwenyekiti akiacha wagombea kujieleza maana hilo ndilo lililomjenga...
  5. B

    Mnyika hilo sawa lakini .........

    Ni mapema sana kumsifia maana kukitokea suala la M4C Karagwe anaweza kukimbilia huko akawaacha mkishangaa. Nimecheka kusoma stori hiyo, naye akijigamba kutoa laki 2.
  6. B

    Lowassa amtaka Gavana wa Benki Kuu kueleza kwanini mfumuko wa bei haushuki

    Hakuna ubaya, lakini kwa nini huyu bwana atoe sababu zizsizo za ukweli katika mazingira ambayo hata yeye anakiri hajui sababu? Lowassa kila siku anashusha heshima yake.
  7. B

    Lowassa amtaka Gavana wa Benki Kuu kueleza kwanini mfumuko wa bei haushuki

    Sasa nani ana IQ ndogo hapa kama siyo wewe ambaye umehamisha mada na ujinga aliouonyesha huyo mungu wako? Mimi nafikiri haya ndiyo mambo yanayochangia kuzorota kwa afya ya Lowassa. Obsession yake katika kumshambulia Membe bila mafanikio imemuweka katika hamaniko linalomuumiza sana hata kuathiri...
  8. B

    Mnyika Bunge linakwisha, njoo uone ya jimboni

    Huku Bonyokwa tuna hasira naye sana. Hata daladala zimeamua kuongeza nauli zikidai barabara ni mbovu na ukweli ni kwamba huku kuna makorongo na toka achaguliwe hajawahi kuonekana wala kufanya lolote. Hata diwani wake hajulikani alipo.
  9. B

    Hili la Mnyika litajibiwaje?

    Kwa hakika Tanzania inahitaji muujiza wa Mwenyeezi Mungu maana hapa tulipofika ni pabaya na sijui kama Mungu atakuja kutunusuru kupata viongozi wenye mapenzi ya dhati na watu na nchi hii na kuwaokoa. Sijui nani alimuumba Lowassa na hawa wenzake. Ooh maskini nchi yangu.
  10. B

    Hivi Mbowe hili unalionaje?

    Afanye nini naye amelegezwa kwa rushwaya mafisadi?
  11. B

    Ukitaka kuwa mbunge wa EAC fanya hili!

    Sasa hivi mchakato wa ubunge wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) unaendelea na wiki hii itakuwa ya patashika. Nikitambua kwamba wagombea kibao wamejitokeza kuwania na nafasi za uwakilishi ni chache, kuna habari kwamba kinara mmoja wa ufisadi na mtakasaji wa fedha anaalika wale wote wanaotaka...
  12. B

    Naulizia hali ya majeruhi mkuu wa Arumeru Mashariki

    Hivi jamaa hajihurumii na kiharusi chake kile? Kwa mtaji huu, 2015 ataisikia kwenye bomba tu!
  13. B

    Hivi Benno Malema anajisikiaje?

    Equally speechless. Hivi registration ya kuwa sehemu ya first family inafanyikia wapi na vigezo ni nini?
  14. B

    Gazeti la Jamhuri: Nyani walewale msitu tofauti

    Kwanza niliposikia mapacha hawa wanaanzisha gazeti mimi nikajua ni kupanua wigo wa magazeti mamluki baada ya kuona kwamba Habari Corporation imeshashtukiwa na haina tena mvuto wala ushawishi kwenye jamii. Hata mimi nimelipitia na tayari kwenye toleo la kwanza Sitta ameanza kuwambwa msalabani...
  15. B

    Lowassa njoo Tunduru

    Sasa mwisho wake ataishiwa na mistari ya kunukuu maana ile ya Lazaro alishaimaliza kwenye harambee ya Yombo. Mimi nashauri aunde sekretarieti itakayokuwa inaratibu maombi yote ya harambee hizi za nyumba za ibada na kupitia risala na mapambio ya kumsifu kama yanakidhi haja maridhawa za kiutakaso.
Back
Top Bottom