Ukitaka kuwa mbunge wa EAC fanya hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kuwa mbunge wa EAC fanya hili!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by banyimwa, Apr 9, 2012.

 1. b

  banyimwa Senior Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa hivi mchakato wa ubunge wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) unaendelea na wiki hii itakuwa ya patashika. Nikitambua kwamba wagombea kibao wamejitokeza kuwania na nafasi za uwakilishi ni chache, kuna habari kwamba kinara mmoja wa ufisadi na mtakasaji wa fedha anaalika wale wote wanaotaka kushinda katika kinyang'anyiro hicho, kwa sharti kwamba wale wanaoutaka ubunge huo wamuahidi kumuunga mkono kwenye harakati zao za kutwaa hatamu za uongozi wa nchi hii.

  Pamoja na anguko tulilolishuhudia kwa chaguo lake kule Arumeru, nawashauri wale wote wenye kuhitaji kufanikiwa basi wamuine mkubwa huyu lakini wawe waaminifu katika ahadi zao kwake. Kila la heri.
   
 2. T

  Tiote Senior Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ofa hii haijawatendea haki wale walioshindwa kwenye mchujo. Wangeambiwa hili, nao wangeweza kuwa na fursa ya uwakilishi. Ila hiyo ahadi mhh!!!
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ukishikwa shikamana. Jamaa kakwama sasa bado kidogo atakwenda ubungo terminal kulipia nauli abiria wa mikoani. Huruma!
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamaa yangu mmoja kakosa kidogo tu kwenye mchujo, ningempa kampani tukale mkwanja wa bure pale dodoma
   
 5. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  USHAURI WANGU.
  Mtafute mkuu William J. Malecela, umpm labda itamsaidia ktk kinyang'anyiro anachoshirika!.
   
 6. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2016
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,585
  Likes Received: 2,693
  Trophy Points: 280
  Mi nawaangaliaga hawa jamaa wa EAC naona kama wameenda kupumzishwa tu kule.
   
Loading...