Chande Jana kasema kazi ya tume ni kukusanya ushahidi wa chanzo na madhara ya vurugu zilizojitokeza; SIO KUTOA USHAHIDI NANI KWENYE KOSA.
Tujiandae kisaikolojia
Yesu aliponya viwete na vipofu, hao wote ni viumbe wa mwenyewe Mungu. Mapungufu ktk uumbaji ni sehemu ya ukuu wa Mungu.
Pia maandiko hayo hayo yanasema mwanaume utakula kwa jasho, lkn Kuna marioo wengi tuu wanalelewa.
Dogo kazi za msingi za tume zilipaswa kuwa zifuatazo.
1. Kutuambia kwa nn watu waliandanana?
2. Kutuambia kama approach iliyotumiwa na serikali kukabuliana na maandamano ilikuwa sahihi?
3. Kutuambia madhara halisi ya maandamano hayo kwa maana ya uharibifu miundombinu, vifo au majeruhi Tena kwa...
Hiyo gas si ipo songosongo na mtwara? Imeshauzwa yote na hela imepeperuka ndio mana magu alikomaa na umeme wa maji. Hicho ndicho wanachokisifia kina Lukas.
Naona kama anaweweseka na heche mpka usingizini, no wonder anapo mrara mkewe anamtaja heche tuu, huo muktadha ni wahao kina baba lishe!! Heche anahusikaje hapo?
Kama huyo employee unaemtafuta wewe ndio utakuwa supervisor wake, jiandae kisaijolijia atakunyang'anya hiyo nafasi. Na kama wewe ndio mmiliki wa hiyo ofisi jiandae kuibiwa sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.