Natafuta Mfanyakazi mwenye uzoefu wa miaka 3 kama Finance Supervisor

Natafuta Mfanyakazi mwenye uzoefu wa miaka 3 kama Finance Supervisor

Kilimi

Senior Member
Joined
Jan 11, 2023
Posts
162
Reaction score
266
Awe na CPA na uzoefu wa kazi wa miaka 3. Kazi: Finance Supervisor Dar es Salaam.

Tuma CV yako kupitia WhatsApp namba 0657392242 au 0693392242.
 
naomba mwenye shida tu anitafuta na awe na vigezo hivo
 
na CPA kazini miaka 3yrs experience ,job title finance supervisor dsm -send your CV TO me whatsupp 0657392242,0693392242
Ndugu nmekuelewa unacho tafut. Embu weka maelezo yako katika uwiano mzuri upate kueleweka zaidi
 
Kama huyo employee unaemtafuta wewe ndio utakuwa supervisor wake, jiandae kisaijolijia atakunyang'anya hiyo nafasi. Na kama wewe ndio mmiliki wa hiyo ofisi jiandae kuibiwa sana
 
Kama huyo employee unaemtafuta wewe ndio utakuwa supervisor wake, jiandae kisaijolijia atakunyang'anya hiyo nafasi. Na kama wewe ndio mmiliki wa hiyo ofisi jiandae kuibiwa sana
acha siasa wewe ,sikujui lakini acha siasa
 
ambae atatuma ok ambae anapuuzia ok pia ila kama wewe unavigezo hizo tuma cv kama hauna ni bora utulie
 
Back
Top Bottom