Salaam wakuu
Najihusisha na biashara ya kuuza Mbuzi wa kuchinja,yaani ndafu wazuri kwa bei nafuu kwa jumla na rejareja. Mbuzi nawatoaga vijijini na kuwanenepesha, Tupo Arusha kwa anahitaji tuwasiliane kupitia 0755710560
Ni kweli kwamba lowasa aliitwa fisadi na yeye alikaa kimya kulinda heshima ya serekali na chama chake na pia alikubali kuwajibika kwa na nafasi yake na pia elewa kuna ukweli ambao ulikuwa hujajulikana hasa lowasa kakubali kutoa ukweli wote nasi tumemuelewa sasa tunamjua mwizi wa Richmond escrow...
Ndiyo huna chama lkn una unanarrow mind na upo shallow sana je ufisadi wa lowasa unaujua au kwasababu alishutumiwa kuwa fisadi kwahiyo ni fisadi yeye mwenyewe ameshaeleza jinsi mambo yalivyokuwa, tena akasema mwenye ushaidi aende mahakamani so wew na wenzio munao mwita fisadi nendeni mahakani...
kweli mkuu yaani hawa magamba wanafanya tathimini waki sijui chooni ndo hawa wanamdanganya Jk anaropoka watashinda kumbe ndo ccm ilishakufa siku nyingi hasa huku arusha yaani hata koko wanaimba people's tuu
Nipo hapa uwanjani kimandulu kwenye mkutano wa ukawa yaan ni mafuriko anayesema watu ni wachache ni mwongo hajifka hapa uwanjani yaani ni people's tuuu! Hapa
mkuu umejibu vizuri sana kwa mtazamo wa kiroho,ni kweli bidadamu ana sura ya roho,nafsi na mwili nafsi inafika sehemu yoyote lakn mwili unalimit,kitendo cha mwili kufika sehemu ambayo nafsi ishawahi kufka unajikuta inarecall km umeshawahi kufka
Ninani anatakiwa akusifu wewe mwenyewe ujisifu hapa jf au wananchi uliowahudumia hata hivyo umefanya nini maneno si vitendo ni kawaida kwa Chama chenu kuongea bila utetekelezaji
Umepewa ukuu wa wilaya kwa kazi nzuri ya kumtukana Edward lowasa na kumpiga mzee Warioba,walio kupa ukuu wa wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.