TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,878
- 5,765
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Dr. John Pombe Magufuli , amesema kutokna na usafi wake, wanachama wa chama hicho wasio wasafi walipoona ameteuliwa kugombea nafasi hiyo, wamehama chama hicho kwa hofu ya kushughulikiwa. "Watu waliotoa pesa walipoona ningechaguliwa waliamua kuondoka wenyewe" alisema.
Akiongea kwa nyakati tofauti jana apohutubia Wananchi katika mikutano ya hadhara maeneo ya Mbalizi Mkwajuni na Makongorosi , mkoani Mbeya Dr. Magufuli , amesema URAIS WAKE HAUTAKUWA NA DENI LA KUMLIPA MTU KWA KUWA HAKUKOPA WALA KUSAIDIWA FEDHA ZA KAMPENI WAKATI WOTE WA MCHAKATO.
Chanzo: Raia Tanzania.