Kifo cha upinzani baada ya Uchaguzi

Kifo cha upinzani baada ya Uchaguzi

mi sioni hoja kuwa upnzan utakufa au ccm kwakuwa waamuz ni sisi, vyote sawa kwakuwa tnahtaj uongoz uwepo, haya matusi,kejel nk ni mbwembwe ktk kpind hki. kama mtu anaona mbele gza aamue anafanyaje...Lakn ni dhambi kuamua ili uendelee kuwaumiza wengne
 
Ni mhuni tu wewe. Watu watakupuuza mkuu. Hebu tuelezee na kifo cha CCM baada ya tar.25 October???

Kwanini hampedi kuambiwa ukweli? Mleta mada kaeleza vizuri sana, Pili nawashauri watu jaribuni kuangalia pande mbili ambazo ni win and loose
 
Hata CCM imepata haueni na silaha za kutosha kupigana na ufisadi, kwani mafisadi wakubwa wamekimbilia CDM. Najiuliza, CDM itapigania nini, kwani ni chama ambacho kilijizoelea umaarufu kupitia kwa Dr. Slaa kwa kuwa namba moja mpinga ufisadi aliyeweka maisha yake hatarini kulikomboa taifa toka kinywani mwa mafisadi. Tundu Lisu na Msigwa watapambana na mafisadi gani wakati CDM ndio kimbilio la mafisadi?

Ndiyo huna chama lkn una unanarrow mind na upo shallow sana je ufisadi wa lowasa unaujua au kwasababu alishutumiwa kuwa fisadi kwahiyo ni fisadi yeye mwenyewe ameshaeleza jinsi mambo yalivyokuwa, tena akasema mwenye ushaidi aende mahakamani so wew na wenzio munao mwita fisadi nendeni mahakani sio kutoa sio kupost thread na wewe uonekane umepost
 
Sasa mbona unaongea double standards wewe mwenyewe? Huo ushauri unaonipa ndio nimempa mleta uzi kuwa kushindwa sio UKAWA tu; aangalie hata upande wa CCM kuwa wakishindwa nawo km UKAWA wanavyoweza kushindwa au kushinda itakuaje?
 
swali zuri ila usishangae ukitukanwa
 
Sasa mbona unaongea double standards wewe mwenyewe? Huo ushauri unaonipa ndio nimempa mleta uzi kuwa kushindwa sio UKAWA tu; aangalie hata upande wa CCM kuwa wakishindwa nawo km UKAWA wanavyoweza kushindwa au kushinda itakuaje?

unahisi ccm itashindwa
 
Nampongeza sana jamaa na hakika anajitambua

​ccm ndio iliyozalisha rushwa na ufisadi, ni jiko linalopika na kuandaa ufisadi. Kisha leo plepole anataka kuhadaa watanzania eti ccm na magufuli hawana ufisadi anajipotezea mate na energy. Watanzania tunafahamu kila kitu. Tulimtaja jk ktk list of shame na bado polepole hakuzungumza, ccm hiyoyo ituambie rizwn amepata wapi huo ubilionea wakati naye ana degree moja kama watoto wa walala hoi,aliajiliwa wapi penye mshahara wa basic salary bilion 1. Kama sio mfumo uleule wa ccm umemtajilisha mtoto wa jk. Polepole anatafuta madalaka kama aliyopewa yule bwana aliyemrukia na kumpa kichapo mze warioba leo tunaona ni mkuu wa wilaya. Kwahiyo hata polepole hawezi achana na mfumo ccm sababu anauchu na kuwa bilionea.hakuna waziri wa ccm asiye bilionea, gufuli anamagorofa kibao,mabasi kibao,vivuko kibao ni fisadi linalojificha ficha na mtu huyu hafai kabisa bora anaye onekana kuliko anayesajili majina ya watoto!!!!
[/QUOTE]

Watanzania tulio wengi inaonyesha wazi kabisa kwamba tumekwishakata tamaa, na pasipo kumumunya maneno hali kama hii ni MBAYA SANA na hasa pale ambapo tunalazimika kufanya maamuzi ambayo siyo maamuzi tu bali ni maamuzi sahihi yatakayobaininsha mustakabali wetu kama Taifa katika miaka mitano ya uongozi ijayo.

Hivyo kama Taifa tunapaswa kuweka tofauti zetu za kisiasa ama mtazamo pembeni, na pia kutoruhusu hisia zetu zitutawale na kutuongoza. Kinyume na hapo; kukata kwetu tamaa, kuendekeza tofauti zetu za kisiasa/mtazamo na pia kuruhusu kuongozwa pamoja na kutawaliwa na hisia zetu kutatufanya tufanye maamuzi ambayo katu hatutakuja kuyakubali baadae kama ni sisi watanzania ndio tulioyafanya, na hii ni kutokana tu na matokeo mabaya ya hayo maamuzi yetu yatakayokuja kujitokeza baadae. Manake wahenga walisema "Majuto ni mjukuu...".

Yote kwa yote, Mwenyezi Mungu kamwe hawezi kuliacha Taifa la Tanzania likapotea kwani kalitoa mbali sana, kalipigania na kulishindia katika mambo mengi sana, hivyo Mwenyezi Mungu atazidi kulilinda, kulipigania na kulishindia taifa la Tanzania hata katika hili pia!
 
Ndiyo huna chama lkn una unanarrow mind na upo shallow sana je ufisadi wa lowasa unaujua au kwasababu alishutumiwa kuwa fisadi kwahiyo ni fisadi yeye mwenyewe ameshaeleza jinsi mambo yalivyokuwa, tena akasema mwenye ushaidi aende mahakamani so wew na wenzio munao mwita fisadi nendeni mahakani sio kutoa sio kupost thread na wewe uonekane umepost

mleta mada anaweza akawa hana ushahidi lakini , Cdm walikuwa hawana ushahidi wakati wanampaka matope???...John Mnyika, Dk slaa kumbe wote walikuwa hawana ushahidi??
 
Nampongeza sana jamaa na hakika anajitambua

​ccm ndio iliyozalisha rushwa na ufisadi, ni jiko linalopika na kuandaa ufisadi. Kisha leo plepole anataka kuhadaa watanzania eti ccm na magufuli hawana ufisadi anajipotezea mate na energy. Watanzania tunafahamu kila kitu. Tulimtaja jk ktk list of shame na bado polepole hakuzungumza, ccm hiyoyo ituambie rizwn amepata wapi huo ubilionea wakati naye ana degree moja kama watoto wa walala hoi,aliajiliwa wapi penye mshahara wa basic salary bilion 1. Kama sio mfumo uleule wa ccm umemtajilisha mtoto wa jk. Polepole anatafuta madalaka kama aliyopewa yule bwana aliyemrukia na kumpa kichapo mze warioba leo tunaona ni mkuu wa wilaya. Kwahiyo hata polepole hawezi achana na mfumo ccm sababu anauchu na kuwa bilionea.hakuna waziri wa ccm asiye bilionea, gufuli anamagorofa kibao,mabasi kibao,vivuko kibao ni fisadi linalojificha ficha na mtu huyu hafai kabisa bora anaye onekana kuliko anayesajili majina ya watoto!!!!
[/QUOTE]

Watanzania tulio wengi inaonyesha wazi kabisa kwamba tumekwishakata tamaa, na pasipo kumumunya maneno hali kama hii ni MBAYA SANA na hasa pale ambapo tunalazimika kufanya maamuzi ambayo siyo maamuzi tu bali ni maamuzi sahihi yatakayobaininsha mustakabali wetu kama Taifa katika miaka mitano ya uongozi ijayo.

Hivyo kama Taifa tunapaswa kuweka tofauti zetu za kisiasa ama mtazamo pembeni, na pia kutoruhusu hisia zetu zitutawale na kutuongoza. Kinyume na hapo; kukata kwetu tamaa, kuendekeza tofauti zetu za kisiasa/mtazamo na pia kuruhusu kuongozwa pamoja na kutawaliwa na hisia zetu kutatufanya tufanye maamuzi ambayo katu hatutakuja kuyakubali baadae kama ni sisi watanzania ndio tulioyafanya, na hii ni kutokana tu na matokeo mabaya ya hayo maamuzi yetu yatakayokuja kujitokeza baadae. Manake wahenga walisema "Majuto ni mjukuu...".

Yote kwa yote, Mwenyezi Mungu kamwe hawezi kuliacha Taifa la Tanzania likapotea kwani kalitoa mbali sana, kalipigania na kulishindia katika mambo mengi sana, hivyo Mwenyezi Mungu atazidi kulilinda, kulipigania na kulishindia taifa la Tanzania hata katika hili pia!
 
Mkuu kwanza hilo dude( ccm) litoke njiani. Mambo mengine yatajiseti

moja ya hoja za kijinga zaidi kuwahi kuzisikia... tatizo sio kutoka ccm as a matter of fashion...je hao wanaotaka kuingia watakuwa na tofauti gani na ccm??, watatekeleza vipi yale ambayo wanachi tunayahitaji
 
Napenda kujitambulisha kuwa mimi sio mwananchama wa chama chochote kile cha siasa kwa sababu sijaona chama ambacho kina yale ambayo mi nataka.

Tuje kwa point, Vyama vinavyounda umoja wa " Ukawa" vikiwa na Mgombea wao katika Ngazi ya Uraisi "EL" vimeamua kutake risk kwa kumsimamisha yule ambae walimpaka matope wao awe mgombe wao wa Raisi... Uzuri wa Uamuzi wa Ukawa ni kwamba wakishinda its a "Win Win" lakini wakishindwa inakuwa Total annihilation.

Mpaka sasa ni ukweli uliokuwa wazi kabisa kuwa ukawa wana ushawishi katika baadhi ya Majiji na sehemu za mjini, sehemu zilizobakia CCM ni dominant Figure kitu ambacho kitaifanya CCM ishinde hata bila goli la mkono .

Baada ya Ukawa kushindwa katika Ngazi ya Urais, itawawia vigumu sana kuwa na nguvu kubwa waliyokuwa nayo, sote tukijua Nguvu kubwa na ushawishi wa Chadema ilijengwa kutokana na agenda yao kupinga Ufisadi, ila kutokana na Moja ya watuhumiwa maarufu zaidi ya Ufisadi kujiunga nao hawatakuwa na jipya kuhusiana na Ufisadi wao Pamoja na vyama vingine vya UKAWA...

Upinzani utakuja kurudi kwenye nguvu yake kama tu vile vyama ambavyo havikuwa na Nguvu hivi sasa vitaonyesha kuwa vinaweza kuleta mabadiliko ya ukweli ambayo yataweza kuitikisa CCM.

Kila mwana ccm anajitambulisha namna yako, sijui tatizo lenu ni nini! Utasikia "Mimi si mwanachama wa chama chochote", magamba bhana!
 
Mtoa mada anajitambulisha kuwa hana chama lakini hajasema ni shabiki wa wapi. Kwa uzoefu wanaosema hawana vyama mara nyingi hutetea watawala, ni CCM wasiojiamini. Hoja ya pili ni kwamba huyu mhe anashindwa kuelewa kuwa Ukawa mwaka huu ina nguvu zaidi hata katika ngome za CCM. Kwa mara ya kwanza Lowasa atavuna wapiga kura katika Mikoa ya Lindi, Tanga, Unguja, Dodoma, Singida, Morogoro na Pwani. Na Upinzani baada ya Uchaguzi itakuwa ni CCM.
 
Back
Top Bottom