Kifo cha upinzani baada ya Uchaguzi

Kifo cha upinzani baada ya Uchaguzi

mleta mada anaweza akawa hana ushahidi lakini , Cdm walikuwa hawana ushahidi wakati wanampaka matope???...John Mnyika, Dk slaa kumbe wote walikuwa hawana ushahidi??

Ni kweli kwamba lowasa aliitwa fisadi na yeye alikaa kimya kulinda heshima ya serekali na chama chake na pia alikubali kuwajibika kwa na nafasi yake na pia elewa kuna ukweli ambao ulikuwa hujajulikana hasa lowasa kakubali kutoa ukweli wote nasi tumemuelewa sasa tunamjua mwizi wa Richmond escrow nakadhalika
 
Napenda kujitambulisha kuwa mimi sio mwananchama wa chama chochote kile cha siasa kwa sababu sijaona chama ambacho kina yale ambayo mi nataka.

Tuje kwa point, Vyama vinavyounda umoja wa " Ukawa" vikiwa na Mgombea wao katika Ngazi ya Uraisi "EL" vimeamua kutake risk kwa kumsimamisha yule ambae walimpaka matope wao awe mgombe wao wa Raisi... Uzuri wa Uamuzi wa Ukawa ni kwamba wakishinda its a "Win Win" lakini wakishindwa inakuwa Total annihilation.

Mpaka sasa ni ukweli uliokuwa wazi kabisa kuwa ukawa wana ushawishi katika baadhi ya Majiji na sehemu za mjini, sehemu zilizobakia CCM ni dominant Figure kitu ambacho kitaifanya CCM ishinde hata bila goli la mkono .

Baada ya Ukawa kushindwa katika Ngazi ya Urais, itawawia vigumu sana kuwa na nguvu kubwa waliyokuwa nayo, sote tukijua Nguvu kubwa na ushawishi wa Chadema ilijengwa kutokana na agenda yao kupinga Ufisadi, ila kutokana na Moja ya watuhumiwa maarufu zaidi ya Ufisadi kujiunga nao hawatakuwa na jipya kuhusiana na Ufisadi wao Pamoja na vyama vingine vya UKAWA...

Upinzani utakuja kurudi kwenye nguvu yake kama tu vile vyama ambavyo havikuwa na Nguvu hivi sasa vitaonyesha kuwa vinaweza kuleta mabadiliko ya ukweli ambayo yataweza kuitikisa CCM.

Yaani wewe huja yako ni nini hapa?

Hivi hili ni suala la kujiuliza tena? Sasa kama UKAWA watachukua nchi, hujui upinzani watakuwa kina nani? Au hata akili ndogo ya kufikiri hii huna?

Unadhani vyama vyote vya siasa vinakidhi mahitaji ya watu wanayotaka? Kama unataka ukikua anzisha chama chako.
 
Kifo cha upinzani baada ya uchaguzi unamaanisha kifo cha ccm maana ndio watakuwa wapinzani

unadanganya kwamba hauna chama,do you think that you can deceive all the people at the same time?

Hizo comment zako ni kama mfa maji tu.kama chadema ilikuwa na nguvu mbona hujajiunga nayo

leo nape anamsifia dr slaa wakati alikuwa anamtukana siku zote mmechanganikiwa sasa

Naaapeee!!Dr sio Kibabu tena. Oh mny God!!
 
Muulize wasira.alijifanya nabii sasa analiua jimboni kwake.
 
Napenda kujitambulisha kuwa mimi sio mwananchama wa chama chochote kile cha siasa kwa sababu sijaona chama ambacho kina yale ambayo mi nataka.

Tuje kwa point, Vyama vinavyounda umoja wa " Ukawa" vikiwa na Mgombea wao katika Ngazi ya Uraisi "EL" vimeamua kutake risk kwa kumsimamisha yule ambae walimpaka matope wao awe mgombe wao wa Raisi... Uzuri wa Uamuzi wa Ukawa ni kwamba wakishinda its a "Win Win" lakini wakishindwa inakuwa Total annihilation.

Mpaka sasa ni ukweli uliokuwa wazi kabisa kuwa ukawa wana ushawishi katika baadhi ya Majiji na sehemu za mjini, sehemu zilizobakia CCM ni dominant Figure kitu ambacho kitaifanya CCM ishinde hata bila goli la mkono .

Baada ya Ukawa kushindwa katika Ngazi ya Urais, itawawia vigumu sana kuwa na nguvu kubwa waliyokuwa nayo, sote tukijua Nguvu kubwa na ushawishi wa Chadema ilijengwa kutokana na agenda yao kupinga Ufisadi, ila kutokana na Moja ya watuhumiwa maarufu zaidi ya Ufisadi kujiunga nao hawatakuwa na jipya kuhusiana na Ufisadi wao Pamoja na vyama vingine vya UKAWA...

Upinzani utakuja kurudi kwenye nguvu yake kama tu vile vyama ambavyo havikuwa na Nguvu hivi sasa vitaonyesha kuwa vinaweza kuleta mabadiliko ya ukweli ambayo yataweza kuitikisa CCM.

peleka uccm wako, ww n magamba unavyoonekana sasa nakutusi kwa mama yako
 
Umezumgumzia sehemu ambazo UKAWA wanaushawishi mkubwa kwamba ni baadhi ya sehemu za miji, lakini hujasema lolote kuhusu sehemu ambazo Lowassa ana ushawishi, na mgombea mwenza je?
 
so unamaanisha CCM itakufa baada ya uchaguzi?? maana CCM kitakua upinzani baada ya 25 october 2015
 
UKAWA UKAWA,wakati nyie ni chadema!...mnawadanganya CUF,laiti chama kingekuwa cha mtu binafsi lipumba mgemsoma kwenye hewa!,mmejimaliza hakuna UKAWA bila lipumba,makapi(samaki uozo!), samaki akioza tenga zima litanuka tu!..Oktoba Chadema itashindwa uchaguzi,UKAWA haipo kwenye karatasi ya kupiga kura!.. watu wakiona kijani wanajua huyo ndio mwana! yeree!... hivi bendera ya UKAWA ikoje hahaa na sare hahaa hazipoo!
 
Back
Top Bottom