Daaaah! Bonge ya Course kaka!. Hyo ndo course ya kiume! Utapata kazi brO. Jaribu kutembelea kwenye viwanda kwa sana'aa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa! Hyo in kweli kabisa. Tatizo apa watu wanabisha wakati ww mwenyewe ndo unaPractice hyo business! WanaObisha wanaskia tU taarifa kutoka kwa watU
Sent using Jamii Forums mobile app
Binasfi Sijaona tatizo kwa MTU kuuliza Mshahara! Kila MTU ana Perception Zake... Angalia ww ndo usije Ukaonekana MJINGA
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa naskiliza Sana Radio! Inaweza kutokea for the whole day!! Hasa weekend Coz ndo huwa siwndi kazini!!.. Huwa Sisiki kabisa nyimbo za wasafi zikipigwa! Tuondoe Clouds hyo inajulikana! Vip kuhusu hizi station nyingine Mf East Africa, Radio FA,Efm na sasa npo Chuga Tripple A hawapigi nyimbo...
Mimi nahishi Kwetu nipo na Mama na mdogo wangu!! Mshua alifariki wakati nipo 4m2, mpaka sasa nmeGraduate chuo mwaka Jana.. Na nshapata kazi! Nahakikisha Mama anakula Fresh Yan inshort nahakiksha ntumbani pako sawa.. Na Mshua Aliacha Shamba KUBWA so huwa nasimamia vitu kama hivyO! NAHAKIKISHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.