KUULIZIA MSHAHARA NI UJINGA

cha1509

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
258
402
Nimeona watu wengi humu wakiwa wanaulizia mishahara kwenye kada mbalimbali nadhani Hawa ni form four leaver ambao hawajui hata confidentiality!

Huwezi kujua mshahara kabla hujaingia huko, niwaombe tu acheni uvulana huo wa kuuliza vimaswali vya kisichanasichana! Onyesheni ukomavu wenu tuone kama mmebarehe kweli, tofauti na hapo mtazidi kuonekana mmevunja nyungo shezy typ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huuu ni mwandiko wa mvulana kabisa

Kaka usikariri hivyo inategemea condition iliyopo ya mtu binafsi.
Kama ni mtu aliyetoka chuo na Hana experience hatakiwi kuchagua kazi au mshahara.
Lakini kwa mtu ambaye tayar ana kazi yake lazima ajue mshahara mapema.
Imagine kwa mfano mtu Ana kazi yake ya mshahara wa milioni 1,halaf anaitwa kwenye interview ya kazi yenye mshahara wa laki 6 halaf ni mbali sehemu ya kutumia laki 2 au 3 kwenye gharama za usafir na kulala.
Huoni kwamba mtu huyu akienda kwenye interview Kama hii bila kujua mshahara ni hasara kwake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom