Natafuta kazi Nina shahada ya petroleum chemistry

Hawa ndio walikuwa wanajiona miungu watu kipind wanasoma hyo kozi na kujihis wao ni the chosen one, huku wakiwacheka wanaosoma kozi nyingine za social science.

Ila mtaa ndio mwalimu mwenyewe, wenzako wote walisoma hyo kozi baada ya kuona kazi haina wameingia kwenye ujasiriamal wa ujanja ujanja sijui forex, network marketing
 
Kama kazi ipo, niunganishe ndugu yangu
 
KAMA UNA AKILI YA KUVUMILIA TEMBELEAA HIZI FIRMS UKAOMBE INTERNSHIP AU VOLUNTEERING MAANA WAO WANAUSIKA HUKOOO

PUMA ,
TPDC ,
OILCOM
MOIL
GAPCO,
TIPER,
NA NYINGINEZO ZNAZOHUSIKA NA OIL NA GAS ,,,KAMA UKIPATA HATA VOLUNTEERING WATAKUWEKA KWENYE TECHNICAL STAFF HUKOOO WAO WENYEWE BAADA YA MUDA HATA MIEZI SITA WAWEZA KUOMBA EMPLOYMENT , AU WENYEWE WATAKUONA TUU KULINGANA NA COMPETENCE YAKO PLUS SOCIALIZING WITH THE HR officers

UPOOOO ???
 
Itabidi Prof Muhongo mmpeleke mahakamani. Aliwadanganya sana kuhusu uchumi wa gesi. Hata mimi pia nilitamani kwenye kusomea gesi na mafuta katika uzee huu wangu... Tanzania kuna vioja sana. Hakuna mtu anaongelea uchumi wa gesi tena!

Mimi Ni kijana wa kiume, umri wa miaka 26, natafuta kazi Nina shahada ya petroleum chemistry.

Ahsanteni sana
 
Usimhukumu bila kumjua.

Hawa ndio walikuwa wanajiona miungu watu kipind wanasoma hyo kozi na kujihis wao ni the chosen one, huku wakiwacheka wanaosoma kozi nyingine za social science.

Ila mtaa ndio mwalimu mwenyewe, wenzako wote walisoma hyo kozi baada ya kuona kazi haina wameingia kwenye ujasiriamal wa ujanja ujanja sijui forex, network marketing
 
Itabidi Prof Muhongo mmpeleke mahakamani. Aliwadanganya sana kuhusu uchumi wa gesi. Hata mimi pia nilitamani kwenye kusomea gesi na mafuta katika uzee huu wangu... Tanzania kuna vioja sana. Hakuna mtu anaongelea uchumi wa gesi tena!
Lakini si gesi ipo chini ya ardhi,one day Yes
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom