Mtoa Post hujafkiria mbele zaidi... Kuwa aliyesoma ADVANCE alaf akafeli form 6 akapata credit zake (cheti) anaweza kwenda kusoma DIPLOMA moja kwa moja..
Tofaut na aliyeishia form4.. Ataanza Certificate ndio aje Diploma. Hilo moja.
Pili wajuzi wa mambo wanakwambia SHORTCUT ALWAYS IS A LONGCUT.. Serikali yetu haieleweki..inabadili mfumo kila siku so ni muhimu kufata Protocol iliyowekwa.
Kingine zaidi Watu wa diploma wanakuw prefered kwa sababu ni WATU WA KUNYONYWA.. yaan mshahara wanaopewa Huwez kulinganish na mtu wa degree.. So waajiri wanapendekez watu wa diploma ili wawape mshahara mdogo kwa faida zao wenyewe.. Hivyo yaan ni Better kusoma Degree direct from A-level
Na kingine usipotoshe watu hapa.. Kipindi cha udahili if umesoma diploma.. Na unatak ukasome degree aisee KUPATA chuo ni mbindeee vibaya mno tofaut na wale direct kutok A-level.
So kam mtu malengo ni kusoma Mpaka Degree it's better kupita a-level.
Sent using
Jamii Forums mobile app