Niko Njia Panda Nahitaji mawazo yenu

Niko Njia Panda Nahitaji mawazo yenu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me stakkki jomoniii[emoji23][emoji23]gia ya mwendokasi angani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile ni ya bombadia kabisa.
Haki nimechekaaa.
 
Sasa kwa mafumbo hayo yeye atajijuaje? Maana hata kampuni mnayofanya kazi hujataja

Ramli siyo nzuri maana nyingine ni chonganishi
 
Sio hadi ye afunguke japo ni mwanaume, we jiongeze muanze mpelekeshe apeleke barua na hatimaye mahari, sio wanaume wate wanajua 'kifuatacho itv'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafanya kazi sehemu flani, nilikutana na huyu kaka kazini ni mtu anayenijali alishawahi kunisaidia kama pesa n.k hakuwahi kunitamkia kama ananipenda ila kuna vimaswali huwa ananiuliza kama hivi, (miaka ndo inaenda hivyo) hili swali bado sijaelewa huwa kamaanisha nini tulishawahi kupanga tutoke out lakini ilishindikana baada ya miaka kwenda ikanibidi nimtoe mimi siku io ilikuwa siku nzuri alifurahia sana na akuamini kama ni mimi ningekuwa na ujasiri huo...... mpaka leo ajawahi kuniambia chochote ila dalili za kunipenda kama zipo hivi ila ninachompendea huyu kaka ni ananijali sana pindi ninapokuwa na shida na kwa upande wa mahusiano alishaniambia kuwa hayuko na mtu yani hata kile anachokifanya kuhusu maendeleo yake ananishirikisha...... hivi je huyu mtu ananipenda au?
kama yuko hapa afunguke
Toka kwanza apo njia panda uje ucukuwe mawazo kutoka kwa domo zege mwenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jiongeze jamaa anakuelewa,unajua u apompenda mtu kupitiliza kunakuepo hali fulan ya hofu kwa dada zetu mara nyingi wanapokutana ana kwa ana na wanaowahusudu moyo uenda mbio.
 
Uhakika wa kuwa unapendwa unao ila wewe ndiye unaesita. Kumbuka kuwa miaka tenda kweli.
 
Nafanya kazi sehemu flani, nilikutana na huyu kaka kazini ni mtu anayenijali alishawahi kunisaidia kama pesa n.k hakuwahi kunitamkia kama ananipenda ila kuna vimaswali huwa ananiuliza kama hivi, (miaka ndo inaenda hivyo) hili swali bado sijaelewa huwa kamaanisha nini tulishawahi kupanga tutoke out lakini ilishindikana baada ya miaka kwenda ikanibidi nimtoe mimi siku io ilikuwa siku nzuri alifurahia sana na akuamini kama ni mimi ningekuwa na ujasiri huo...... mpaka leo ajawahi kuniambia chochote ila dalili za kunipenda kama zipo hivi ila ninachompendea huyu kaka ni ananijali sana pindi ninapokuwa na shida na kwa upande wa mahusiano alishaniambia kuwa hayuko na mtu yani hata kile anachokifanya kuhusu maendeleo yake ananishirikisha...... hivi je huyu mtu ananipenda au?
kama yuko hapa afunguke
Em weka picha yako then ntaComment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni domo zegee...!! Ila ngoja nikupe trick mwite nyumbani kwako alafu jifunge kanga moja..!! Then ukaenae bampa to bampa akishindwa kufunguka ...mkate kibao cha usoo.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafanya kazi sehemu flani, nilikutana na huyu kaka kazini ni mtu anayenijali alishawahi kunisaidia kama pesa n.k hakuwahi kunitamkia kama ananipenda ila kuna vimaswali huwa ananiuliza kama hivi, (miaka ndo inaenda hivyo) hili swali bado sijaelewa huwa kamaanisha nini tulishawahi kupanga tutoke out lakini ilishindikana baada ya miaka kwenda ikanibidi nimtoe mimi siku io ilikuwa siku nzuri alifurahia sana na akuamini kama ni mimi ningekuwa na ujasiri huo...... mpaka leo ajawahi kuniambia chochote ila dalili za kunipenda kama zipo hivi ila ninachompendea huyu kaka ni ananijali sana pindi ninapokuwa na shida na kwa upande wa mahusiano alishaniambia kuwa hayuko na mtu yani hata kile anachokifanya kuhusu maendeleo yake ananishirikisha...... hivi je huyu mtu ananipenda au?
kama yuko hapa afunguke

Mbona unakuja kunianika humu? No mimi njoo inbox tuyamalize
 
Back
Top Bottom