Recent content by bampami

 1. bampami

  Kangi Lugola kuchukiwa na askari, ukweli wawekwa hadharani. Huenda wanyonge wakakumbuka utawala wake

  Wanaotutetea ndiyo wanaotolewa kafara. #OVER Sent using Jamii Forums mobile app
 2. bampami

  Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

  wamezidi nao kila kitu wanakula khaaa...acha waugue tu hakuna namna...Sometimes Mungu hufanya hivyo ili kutupunguza duniani Sent using Jamii Forums mobile app
 3. bampami

  Mzigo mpya..!

  Watu wamekimbilia walizani mizigo yetu ile video zilizovuja[emoji81][emoji81][emoji81] Sent using Jamii Forums mobile app
 4. bampami

  Mvua ya ajabu Gairo

  Tuliorudi kuzooom mguu wa mpiga picha tupeane like hapa basi[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Sent using Jamii Forums mobile app
 5. bampami

  Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

  Brother labda tu ni kwambie huwezi linganisha alichofanya kikwete msoga na yanayoendelea huko chato ahaaaaaa bro chato imefukia kwa saaana aisee, tena inafanyika bila woga wowote yaaani kiubabe ubabe maana hakuna wa kumtisha. msoga is nothing compare to chato aisee Sent using Jamii Forums...
 6. bampami

  Goodluck Gozbert sio mwimbaji wa Gospel

  gospel flavour dah Sent using Jamii Forums mobile app
 7. bampami

  Mwanafunzi ameunda emojis 350 kubadili picha ya umasikini wa Kiafrika

  Nahehe lulu Sent using Jamii Forums mobile app
 8. bampami

  Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

  Wakiruhusiwa wafanye uchunguzi huru, Tutajua mengi sana. Sent using Jamii Forums mobile app
 9. bampami

  Je, ni lazima unavyosafiri kwa kutumia usafiri wa ndege wa ndani ya nchi (local flights) uwe na kitambulisho cha uraia (NIDA)?

  Mimi huwa natumia driving license, Kitambulisho cha kazi ama cha kupiga kura. Sent using Jamii Forums mobile app
 10. bampami

  Dar: Tundu Lissu ahutubia mkutano mkuu wa CHADEMA, ataka asaidiwe arudi nyumbani, kashapona

  wewe nani ? Sent using Jamii Forums mobile app
 11. bampami

  Nimefumaniwa na sex chat kwenye simu

  Ngoja nifute zangu, maana asijezifumania ikwa balaa.. Ogopa kukorofishana na unayelala naye kitanda kimoja...Furaha ikipotea inakuwaga ni balaa
 12. bampami

  Manyara: RC Mnyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

  Binafsi RC yupo sahihi, kama ni kushirikiana waaanzishe vyama vya kijamii vitakavyojumuisha makabila yote yaliyopo mazingira hayo, bila kujali dini,rangi,vipato n.k n.k Tutaondoa dhana ya ukabila
Top