Recent content by Bamic

  1. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa maoni yangu mwalimu ana kitu anafundisha kngawa bado mapema kusema ila naona kuna kitu kla tatzo lipo kwa wachezaji beki na viungo wahawelewani kabisa na hawajui wafanye nni Lavia ni mtu mzuri ila Enzo na caicedo ni wazito sana
  2. B

    SGR Dar-Moro: Abood Bus Service alikuwa akitoa basi 40 kwa siku, sasa anatoa 20 kwa siku

    Kwa hyo na ma bus ya ester na mwigulu nayo yanapata tabu
  3. B

    Tazama katika picha watu walivyomiminika na kufurika kwa wingi katika Kumpokea Rais Samia Gairo Mkoani Morogoro

    Kwani umewauliza wote wanafuraha mbona mie hujaniuliza kma ni furahi au nipo hapa kuhesabu magari alionayo na kuonea huruma kodi zetu
  4. B

    Tetesi: MOSSAD wa Israel wanatumia aliens?

    Hilo li TIKTOK WATOTO WA KIKE WANAUME WANAOTUMIA UPUUZ HUO HATA SIJUI WANAFANYAGA NNI NAYO
  5. B

    Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

    Du we mshakaji kinyesi sana una roho mbaya sana ssa unapinga hapa JF nenda barabarani kapinge ndio tutakuona kweli ww unauchingu na taifa hili je unapendekeza apewe nani MBOWE AU WW JITOKEZE WEKA JINA LAKO NA NAMBA YAKO MUOGA KWELI
  6. B

    Hayati Magufuli angekuwa bado ni Rais wawekezaji wangekuwa wameshakimbia wote

    Kama sikosei mkuuu ulikwa una akili yako vizuri tu mwanzo ila sijui kimekukuta nni umegeuka praise TEAM UNASIFIKA HATA MTU AKISEMA UPUUZ AU UMEKULA TEUZ KWA UZEMBE
  7. B

    Naomba ushauri wako juu ya kipi nifanye kwa hiki kilichotukumba kwenye ndoa

    Mbona ulipokuwa unataka kufunga ndoa hukutuomba tukushauri
  8. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Uko haraka na muda mkuu Kimbukiko
  9. B

    Kumbe "Kelele" za wapinzani zinasaidia, Abdul sasa hatumuoni kwenye functions/ dealings za serikali

    We nae kweli ni kipofu umeandika nni sda na umefurahia nni ssa watu wanakula kimya kimya na mikataba wanasaini kimya kimya ww unafurahi lofa kweli mtanzani
  10. B

    Tamko la Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu madai ya kusambaa kwa matukio ya utekaji wa Watoto, asema Nchi ipo salama

    Angalia hata body language yake hamaanishi anachokisema kma mtu alie changanyikiwa
  11. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nataka kusema mapema kabisaaa hata kabla hatujaanza LIGI Chelsea ndio timu mbovu msimuuu kuwahi kutokea na inawachezaji wa hovyo sana na mwalimu nae sina imani nae maana mtu kma Badiashile anatakiwa kuuzwa hata 12 tu na kipa sanchez na shati la shule ya upili
  12. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Live sports TV appstore au play store
  13. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa hyo unataka kusema hata maersca bado anaujinga wa kuchezesha wachezaji nje ya position
  14. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kweli hamna timu kwanza kabisa mwalimu kma ndio anafundisha hiv mtu wa hovyo mpira wake anacheza taratibu sana na halafu BADIASHILE na Disasi wanabaki halafu chaloba unamkataaaa kabisa wazi wazi kuna kitu kinatia shaka beki zote nzito kama nni yaaani hovyo kabisa
Back
Top Bottom