Recent content by bambino

  1. bambino

    Majambazi wavamia gari la Bonite (Coca Cola) Moshi na kupora pesa

    Mungu awalaze mahala pema marehemu na awape nguvu wafiwa.
  2. bambino

    Rais Kikwete Kuhutubia Taifa atakapoongea na Wazee wa Dodoma

    Tusitegemee jipya, lakini tuwe wasikivu mheshimiwa mtukufu raisi atakapo lihutubia Taifa letu. Mungu ibariki Tanzania
  3. bambino

    Kikwete atakuwa USA kuanzia Alhamis ijayo

    Kazi ya kuongoza nchi ni kazi ngumu sana, hususani TZ, nchi yenye watu zaidi ya milioni 40 wenye mahitaji tofauti, nchi ambayo viongozi waliopewa dhamana ya kuwaongoza wa TZ wamekuwa wakulia lia tu na kulalamikia ufisadi na rushwa iliyokithiri pasi na kuchukua hatua thabiti, nchi iliyojaa...
  4. bambino

    Vyeti vya Miss Tanzania vyachunguzwa, ikibidi Polisi kuhusishwa

    Inawezekana hata hiyo passport ni ya magumashi, hii ndiyo bongo kila kitu kinawezekana.
  5. bambino

    Zitto: Nipo tayari kupokea maamuzi ya kikao cha Kamati Kuu kesho (Jan 3, 2014)

    That is politics, be ready for everything and move on, politic is a dirty game.
  6. bambino

    Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

    PhD ama piechi di za makachanjanja, mbona wako wengi wa hizo peichi di huko Mbeya, hata dada mmoja wa chama tawala mbunge wa viti nya upendeleo anayo peichi di ya kupewa, eti nae ni Daktari siku hizi, hata degree ya kwanza hana. Nchi hii sijui tunakoelekea.
  7. bambino

    LUKUVI na wengineo, Huu ndio ukweli jinsi Bomu lilivyorushwa. Mengine ni PROPAGANDA!

    Ewe muumba utuepushe na dhahama hii, ndiyo kwanza tupo kati kati ya 2013, mpaka ifike 2015 basi tutashuhudia maovu makubwa ndani ya nchi hii, ile dhana ya "kisiwa cha amani" haipo tena, damu za watu wasio na hatia zinazidi kumwagika, ubinafsi, uroho wa madaraka na ufisadi ndiyo inapelekea yote...
  8. bambino

    Kubadili matokeo IV 2012: Prof. Mukandala aivimbia serikali!

    Serikali ijiwajibishe yenyewe, usitegemee upande bangi uote mpunga, haya matokeo ya litarajiwa na bado tusubiri kiama cha matokeo mabovu kwa mtindo huu tuendao. Mungu ibariki Tanzania na kizazi hiki cha utawala usio na muelekeo thabiti.
  9. bambino

    TANZIA: Afisa wa TAKUKURU auawa

    Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema.. amin.
  10. bambino

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    Mwaga facts achana na udaku......Tanzania bila majungu inawezekana!
  11. bambino

    Haya ni mapenzi au kujidhalilisha!!

    Nenda kamsaidie :target:
  12. bambino

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Du hii kali, na bado tusubiri mawaziri toka shule za kata ifikapo 2050..... Tanzania nila Elimu inawezekana...
  13. bambino

    Waandishi Kugomea Habari Za Kipolisi; Naomba Nichangie Haya...

    Mnafiki hana rafiki, mwishowe wataumbuka tu.
  14. bambino

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Kwa maoni yangu, sidhani kama kulikuwa na jambo kubwa sana kwa Mnyika kutimuliwa mjengoni, nafikiri naibu spika halipaswa kuwa na kauvumilivu ili Mh. Mnyika alieleze bunge udhaifu wa Mh. raisi kwa tafsiri aliyokusudia na kama itaonekana aliyoyasema ni uongo then zipo taratibu na kanuni za bunge...
Back
Top Bottom