Katika hali ya kawaida ilibidi waziri mwenyewe asimame na kujitetea mbele ya watanzania ni nini kilichomsibu hata aseme haya. halafu sijaelewa hata hilo neno indian ocean hapo limeingiaje. yaani ni full mchanganyo. Kwa ujumla Mulugo uwezo wake unatia shaka sana. Hata kwenye kujieleza tu kama anavyosikika hapo inaonekana ni shida.Ni kumshikia kidedea aondoke kwenye ofisi nyeti kama hiyo, JK ampangie kazi nyingine anatuaibisha sana. Hafai kwenye hiyo nafasi. Hope UWT wanaiona hiyo aibu, na watasaidia kufikisha ujumbe!!
Mmmh, sijui! Lakini kwenye suala zima la presentation kwa kweli nadhani yupo weak, hata kama ingekuwa ni ya kiswahili. Ila kwenye actions anajitahidi. Huyu ni style ya akina Kawawa. Ni mzuri kwa utekelezaji lakini siyo presentation.Labda its a slippery of the tongue but personally ni mawaziri wachache wa JK ambao ninawakubali ambao hawafiki watano!
As most are just minister by accident
Duh, hii nayo kali. Akishindwa kuitambulisha Tanzania basi atakuwa si mtanzania? For sure kuna waMozambique na wazambia wengi sana wanaweza kuitambulisha Tanzania vema sana. Maana jiografia haiwahusu watanzania peke yao. Sasa sijui kwa speech hii atasimamaje kuwakolomea walimu wabovu ilihali yeye mwenyewe mbovu!Labda sio MTANZANIA!!!!!!!!!!
ilingishi kama ya mama kinda, anayesema, senkyu vere mache
ilingishi kama ya mama kinda, anayesema, senkyu vere mache
Kuoneana aibu ndiyo sifa zetu, jitu linatutia hasara lakini bado tunasema, "tunamwamini anaweza" atimue zake, sijui kama usalama wa taifa wanafanya kazi yao inavyotakiwa au nao hawana viwango vya kufanyia kazi. Pengine wao wamejikita kwenye kupambana na threat wa nchi wakati hata huyu ni mhujumu elimu.Katika hali ya kawaida ilibidi waziri mwenyewe asimame na kujitetea mbele ya watanzania ni nini kilichomsibu hata aseme haya. halafu sijaelewa hata hilo neno indian ocean hapo limeingiaje. yaani ni full mchanganyo. Kwa ujumla Mulugo uwezo wake unatia shaka sana. Hata kwenye kujieleza tu kama anavyosikika hapo inaonekana ni shida.
hapo umenena mkuuNi kumshikia kidedea aondoke kwenye ofisi nyeti kama hiyo, JK ampangie kazi nyingine anatuaibisha sana. Hafai kwenye hiyo nafasi. Hope UWT wanaiona hiyo aibu, na watasaidia kufikisha ujumbe!!