Pinda na umiliki wa Sumry Express

Pinda na umiliki wa Sumry Express

Status
Not open for further replies.
Tumuombe Mungu sababu yeye anayomajibu ya yote,kama ni kweli atamuumbua tu kama anayoyafanya si haki yake na kama si kweli basi na tusamehewe,lakini ukweli ni kuwa anaemjua mtu msafi ni Mungu pekeake ila sisi binadamu tujitahidi kushika amri za Mungu kwa kila jambo.
 
Mkuu kutokana na uzi wako umetoa conclusion kabisa as if umefanya utafiti, me nafikiri ungesema anatuhumiwa umiliki Summry
 
nilipomaliza kusoma hii nikarudi SOMA I'd ya muanzishaji nipate hisia anaweza kuwa anatokea kanda ipi, I'd imeakisi nilichokuwa nahisi. acheni ukaskazini jamani.mmetafuna vya kutosha na bado mnaendelea kutafuna Ila hamridhiki. kanda zingine zikigawiwa kidogo mnabekwa ovyo, kisa mnamiliki media,mpo wengi mitandaoni na mnamiliki hadi chama cha siasa cdm. ntajibu hoja ya pili. niambie kilometa za rami mkoani Kilimanjaro,ni nyingi sana,huduma za umeme,maji. vyote vinajengwa na wahisani. bado sasa ukipita wanaendelea jenga rami. kamwe hajabweka mtu humu kwamba mbona wilaya za muhimu sana kama nkasi na mkoa WA kigoma vilivyo muhimu kwa biashara na nchi za maziwa makuu zimetelekweza. hao wahisani wanapenda Kilimanjaro tu!!!! angalia umuhimu WA mbuga ya Serengeti,pato inaloingiza, pita wilayani Serengeti utaweza lia. watalii wamevaa mask kisa vumbi. Mbona hajabweka mtu wajangewe rami. kikwete anataka jenga rami wanalia ajabu,wameapa kukwamisa. wao wapo radhi wanaserengeti wafe kama walivyokuwa wanafurahia wanangorongoro wanakufa kwa njaa lakini wao waneemeke kule moshi kwa kupokea watalii.
Leo mnamsakama pinda na makinda kuomba mikoa. Mbona mchezo WA wilaya mpya ulianza zamani huko kilimanajaro hamjawahi bweka!!!! rejea mwanga,na karibuni wilaya ya mpya ya hai, yaani wilaya inaeneo kama tarafa.ni kama zile wilaya za zenji. hamjabweka. eti mpanda airport imekuwa nongwa. mnaroho mbaya sana,ni asili yenu coz tunaishi nanyie.
 
umeandika ujinga, uwanja ukiwaunajengwa fasta ni sababu ya pinda?!?shida WA kaskazini mmejaa jamvini, hoja za kibaguzi za kikanda hammkemei.
anzisheni nchi yenu ya kaskazini kama alivyoshauri Joshua nasari. shida mnapenda kila kiongozi Mkubwa atoke kaskazini I li mtaifishe zaidi.
mnamsakama kweli waziri WA nishati na katibu mkuu wake eti wanatoka mkoa mmoja,kama mlivyowahi mshambulia luhanjo eti kajaza kabila lake wizara ya utalii. kweli nyani haoni kundule. hivi wizara za afya,fedha,tra,bandarini wamejaa vijana kabila gani?? inamaana cku hizi hizo cozi wanasoma hao tu?
kamwe wachadema hawasemwi wakijaa wao ofisini. thubutu kutoka mkoa mwingine muwe wawili mabosi,mnasakamwa mpaka basi, wanamiliki media,wanamitandao hadi chama cha siasa cdm.
hoja ya umiliki WA sumry sijui coz sijawahi kaa huko. huwanapita tu kikazi
 
wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-pm amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye sumry express na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya mbeya express kupotezea. Hebu cheki ule uwanja wa ndege mpanda ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka yambesi awe katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote rukwa mzee luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee ombeni. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina. Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia matreka,mbolea etc.......mkuu tumekushtukia

hujasikika hata kidogo ushahidi wako upo wapi:: Wacha unafiki
 
Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya MBEYA EXPRESS kupotezea. Hebu cheki ule Uwanja wa ndege MPANDA ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka Yambesi awe Katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote RUKWA mzee Luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee OMBENI. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina. Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia Matreka,Mbolea etc.......MKUU TUMEKUSHTUKIA

Jf,ni tofauti sana na magazeti ya udaku,normally ushahidi kwa thread unayoiandika huwa muhimu sana ili kuruhusu wengine kujadili,we need evidance ili huyo PM ashughulikiwe!!
 
Mwaga facts achana na udaku......Tanzania bila majungu inawezekana!
 
Majungu ndio mtaji wako ili ufanikiwe? Kama kuna ukweli tafuta vithibitisho uweke humu. Fanya hivyo kwa mapenzi yako kwa nchi yako Tanganyika. Ndio nchi yako Tanganyika, si mnajua wanandoa wenzetu wa visiwani hataki tena hii ndoa.
 
nilipomaliza kusoma hii nikarudi SOMA I'd ya muanzishaji nipate hisia anaweza kuwa anatokea kanda ipi, I'd imeakisi nilichokuwa nahisi. acheni ukaskazini jamani.mmetafuna vya kutosha na bado mnaendelea kutafuna Ila hamridhiki. kanda zingine zikigawiwa kidogo mnabekwa ovyo, kisa mnamiliki media,mpo wengi mitandaoni na mnamiliki hadi chama cha siasa cdm. ntajibu hoja ya pili. niambie kilometa za rami mkoani Kilimanjaro,ni nyingi sana,huduma za umeme,maji. vyote vinajengwa na wahisani. bado sasa ukipita wanaendelea jenga rami. kamwe hajabweka mtu humu kwamba mbona wilaya za muhimu sana kama nkasi na mkoa WA kigoma vilivyo muhimu kwa biashara na nchi za maziwa makuu zimetelekweza. hao wahisani wanapenda Kilimanjaro tu!!!! angalia umuhimu WA mbuga ya Serengeti,pato inaloingiza, pita wilayani Serengeti utaweza lia. watalii wamevaa mask kisa vumbi. Mbona hajabweka mtu wajangewe rami. kikwete anataka jenga rami wanalia ajabu,wameapa kukwamisa. wao wapo radhi wanaserengeti wafe kama walivyokuwa wanafurahia wanangorongoro wanakufa kwa njaa lakini wao waneemeke kule moshi kwa kupokea watalii.
Leo mnamsakama pinda na makinda kuomba mikoa. Mbona mchezo WA wilaya mpya ulianza zamani huko kilimanajaro hamjawahi bweka!!!! rejea mwanga,na karibuni wilaya ya mpya ya hai, yaani wilaya inaeneo kama tarafa.ni kama zile wilaya za zenji. hamjabweka. eti mpanda airport imekuwa nongwa. mnaroho mbaya sana,ni asili yenu coz tunaishi nanyie.

halafu sometimes uwe mkweli hoja ya kukataliwa kujenga lami serengeti ?ni majirani zetu Kenya ndio wanawatumia wanaharakati wa mazingira wawe kwazo kwa mradi huu kwa kisingizio matendo ya asili ya kuhama kwa wanyama kutoka srt to masai mara kny yataathiriwa na ujenzi huo. tafuta the impact of the new loliondo serengeti tamac road ,google na utapata jibu ,jk pam
 
Hiv ccm mbona mnatugawa, rais wenu ameleta udini wewe unakuja na single ya ukanda, au ndo uwezo wenu wa kufikiri?
 
We kenge kweli! Kwani nani amekwambia sifa ya uongozi bora ni kuwa masikini...kama amepata kiuhalali wewe inakuuma nini?
Hakuna anayekataa kiongozi kuwa tajiri, shida ni pale unapotumia nafasi uliyonayo ya uongozi kuupata utajiri wa harakaharaka. Kiongozi ni mwanajamii mwenzetu kwa maana kuwa tunaishi naye mitaani Mbagala: kula yake, kulala kwake kuvaa kwake tunakujua.

Leo ghafla baada ya kupata nafasi ya uongozi anamiliki makampuni ya usafiri, mafuta, mashamba makubwa. Mashaka ya utajiri na jinsi ulivyopatika kwa haraka yanakuwa na mshiko. Wafanyabiashara ya uhalali wanajua jinsi ilivyongumu kuanza biashara na kuinuka mara moja.

Kukiwa na mfanyabiashara wa namna hiyo hufikiriwa pia kuwa ama anakwepa kodi ama anauza mihadarati kudhihirisha ugumu wa biashara. Kwa mwanasiasa tena asiyekuwepo kusimamia kusimamia kitaaluma inakuwaje aukwae ukwasi haraka mara baada kuwa kiongozi?

Mashaka hayo yanakujakujidhihirisha zaidi kiongozi huyu anapoacha nafasi ya uongozi na miradi pia huwa ndiyo mwisho wake. Yako wapi makampuni kama ya Scandnavia yaliyodhaniwa kuwa ya viongozi?
Tajirika Sajosojo lakini si kwa mali zawatu kupitia dhamana waliyokupa/
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom