mtoa mada wewe umesoma wapi? Kayumba au international schools?
Kama jibu ni kayumba, je? mafanikio yako unayalinganisha na ya nani hapo sammata? au diamond?
Matumizi yaliyokithiri ya mimi ni ishara ya ubinafsi sana. Hata kwenye mahusiano, mtu akishaanza kuwa na mimi, mimi nyingi ninaona ni mtu asiyeweza kuwa 'humble'.
Kwa kusoma comments humu inaonesha jinsi gani watu tunapenda kukuza mabaya ya wengine, mtoa mada kauliza wasifu, kama hujui mazuri ya mtu then kaa kimya. kwa nini umseme mwingine kwa mabaya?. Haya let's say huyu mtumishi ni mpigaji na mkosefu sana, wewe mwenye umakini na uelewa mkubwa wa neno...
Wana jamvi ninaomba ushauri wenu,
Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla sijaja masomoni.
Muda wangu wa masomo unakaribia sana kuisha na ninaona nafasi za ajira na maisha...
ni sawa kabisa kutokuolewa na mtu kama haujiskii kufanya hivyo. maisha ni haya haya na ndoa ina mambo mengi sana ambayo yatahitaji upendo ili ufurahie, so mwambie tu ukweli, kweli itakuweka huru. ataumia lakini ataendelea na maisha yake na hautahitaji kuencounter divorce or something mbele ya...
Suala la harusi limekuwa na mtazamo tofauti, na siku za karibuni kadi za michango zimekua 'kero' kwa wengi. Watu wengi huwa na mawazo kuwa siku hii ni siku moja tu haijirudii hivyo kujikuta wanatumia gharama nyingi katika vitu mbalimbali ambavyo hupelekea gharama kwa ujumla huwa kubwa sana...
Aiseee, nimesoma comments hapa unaweza dhani duniani binadamu wote wabaya. Ukatamani usisaidie tena mtu au usitende wema. but I am very positive kuna mambo mengi mno mema watu wamenifanyia nyakati ambazo sikuweza au nlikua mhitaji mno au wamewafanyia wengine ambayo yaninipa sababu kuendelea...
so whats your point? wauze clouds media group ili atibiwe? fine, we hujachanga na hutakaa kuchangia mtu akiumwa, mbona busy na kampeni za kupinga watu wasitoe fedha mifukoni mwao kumchangia Ruge? Umesema ni tajiri tuwekee figure hapa za account yake ina fedha kiasi gani ili tujiridhishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.