Abubakar Karsan
Member
- Oct 27, 2019
- 62
- 45
Yanga OYEE!Ukaniambia nitaje wachezaji nisiowaelewa basi huyu jamaa (samatta) anaongoza list.!!! Sijui tu ata hiyo EPL kafikaje
Sent using Jamii Forums mobile app
ila mshahara wake hautashuka. tujifunze kufurahia mafanikio ya wenzetuTimu inashuka daraja hiyo
akieleweka na kocha wake inatosha. wewe ni nani hadi umuelewe? yeye anakuelewa?Ukaniambia nitaje wachezaji nisiowaelewa basi huyu jamaa (samatta) anaongoza list.!!! Sijui tu ata hiyo EPL kafikaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu zuri sana kwa huyo taahiraakieleweka na kocha wake inatosha. wewe ni nani hadi umuelewe? yeye anakuelewa?
Ndo kashafika wakati wewe hapo ulipo kununua Chupi 3 huweziUkaniambia nitaje wachezaji nisiowaelewa basi huyu jamaa (samatta) anaongoza list.!!! Sijui tu ata hiyo EPL kafikaje
Sent using Jamii Forums mobile app
sent from tecno J5 mobile app,