Mimi sio Mrangi ila nawajua vyema Warangi Kutoka kona zote za Kondoa ,chemba, haubi,Aneth,Pahi,Mnenia,Itundwi ,Mondo ,Simba, Chandama mpk kule Soya n.k
Warangi hatari sana ni wale Weupe wa kondoa Kaskazini na Wa Farkwa wenye mchanganyiko na Wasandawe.
[emoji45] utapigwa ndere mpk usahau...